chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,689
- 45,953
Kwa kweli sijafanikiwa bado kuziona naona international zao ni alliance na nyakahoja na st.Mary's ila ukiziangalia ni kama magereza ya butimba au maromboso Mkuu.Hivi mwanza wana International school (simaanishi English medium maana mangosha wanaita English medium international) namaanisha zile shule ada ni Mil 10 mpka 20 kwa mwaka...
Mkuu chongchung hebu nisaidie labda wanazo huko Mwanza
Mkuu ungefanya uungwana upande pale Ngarasero Lodge ukamate photo 2, 3 uwaekee hawa raia wajue kwanini Arusha iliitwa Geneva of Africa..ha ha ila arusha ni pazuri mkuu tuache utan,kuna jamaa yang wa iringa alifika huku usa river kwa mara ya kwanza akasema atatafuta kiwanja kwa gharama yoyte ilmrad aishi huku😀😀😀😀😀
Watengwa ni genge la hip hopSijakupata mkuu una maana msanii kaimba kwamba Arusha imetengwa au?
Aisee lori la dagaa sijawahi hata kupanda...Naona swahiba wangu Mkuu wa chuo kaja hapa
Mkuu sijasema umepanda au umekuja na lori la dagaa... Nimefurahia ujio wako tu hapa kwenye uziAisee lori la dagaa sijawahi hata kupanda...
Sema kwa sasa nimechomoka nimekuja huku Elmotonyi, labda jioni nitakuwa Sky Lounge...Siku ile nilikwambia sema upo wapi nije kukuchukua tupimane ubavu ukasingizia uko site Kwa Mromboo... Njoo hapa mtaa wa uhindini
Nataka kushusha ya kwangu mwenyewe Dolly Estate...Aise nimemsikia anataka kukutembelea kwenye mansion yako mwambie hii kitu iko dsokoni najua yeye ni professor change hazikosekani.
View attachment 405502
Duh! Ninyi ndio wale kama wale watoto wanaosema " hivi na nyie kwenu mna video" yaani unaona hicho kitu ni cha ajabu sana...Hivi mwanza wana International school (simaanishi English medium maana mangosha wanaita English medium international) namaanisha zile shule ada ni Mil 10 mpka 20 kwa mwaka...
Mkuu chongchung hebu nisaidie labda wanazo huko Mwanza
Kuna Isamilo international School, Kuna Mwanza international school...Kwa kweli sijafanikiwa bado kuziona naona international zao ni alliance na nyakahoja na st.Mary's ila ukiziangalia ni kama magereza ya butimba au maromboso Mkuu.
Afanye uungwana pia awawekee ile mitaa ya Ngarasero kule USA River, ebana kuna slums na penyewe...Mkuu ungefanya uungwana upande pale Ngarasero Lodge ukamate photo 2, 3 uwaekee hawa raia wajue kwanini Arusha iliitwa Geneva of Africa..
Okay poa mkuu, ngojea nielekee pande za Olkokola kwanza...Mkuu sijasema umepanda au umekuja na lori la dagaa... Nimefurahia ujio wako tu hapa kwenye uzi
Isamilo international schoolHivi mwanza wana International school (simaanishi English medium maana mangosha wanaita English medium international) namaanisha zile shule ada ni Mil 10 mpka 20 kwa mwaka...
Mkuu chongchung hebu nisaidie labda wanazo huko Mwanza
Mkuu Ngarasero ya sasa si ile ya zamani baada ya ile barabara ya old moshi kutanuliwa na watu kujenga nyumba za kisasa pamekuwa na mabadiliko makubwa mno....Then shuka kule Kiligolf huwezi amini upo TZ ni fulu ulaya..Afanye uungwana pia awawekee ile mitaa ya Ngarasero kule USA River, ebana kuna slums na penyewe...
Haya majengo ya wahindi ..wewe mbongo wa kawaida yanakusaidia nini.unakaa mitaa ya arusha kwa asilimia 98 haina barabara ni vijinjia vidogo vilivyojaa vumbi hata gari mbili haziwezi pishana..ukinunu kiji.plot kwa waarusha ndo wanakuuzia na kijinjia ..umaskini wa akili na mazingira bora hata mikoa kama Mara,morogoro etc mitaa imepangika barabara hata magari yanapishana....Mkuu achana nae Arusha haijui.
Sable Mall near Arusha Airport
OkWatengwa ni genge la hip hop
Leo nataka kuanzia picnic kaunta, shivaz counter, namalizia mrina counter namumusa soda zangu tatu jumla nachukua take away naenda kula then kulala, Arusha design tamuSema kwa sasa nimechomoka nimekuja huku Elmotonyi, labda jioni nitakuwa Sky Lounge...
Msipondane bila chama kuchakuchua wasukuma wale ni ndugu zenu kabisa wa people'sDuh! Ninyi ndio wale kama wale watoto wanaosema " hivi na nyie kwenu mna video" yaani unaona hicho kitu ni cha ajabu sana...
Nani kakwambia hiyo investment ni ya mhindi?Haya majengo ya wahindi ..wewe mbongo wa kawaida yanakusaidia nini.unakaa mitaa ya arusha kwa asilimia 98 haina barabara ni vijinjia vidogo vilivyojaa vumbi hata gari mbili haziwezi pishana..ukinunu kiji.plot kwa waarusha ndo wanakuuzia na kijinjia ..umaskini wa akili na mazingira bora hata mikoa kama Mara,morogoro etc mitaa imepangika barabara hata magari yanapishana....