Nilichogundua kuhusu Arusha

Utamaduni wa Kaskazini ni nyama na bia/pombe.. Kwahiyo kama unajiweza lazima utafute eneo kubwa ili ata ukichinjwa mbuzi uite ndugu na marafiki kadhaa mchome nyama na mkate kinywaji kidogo.. Mwambie ndio kazi ya hizo garden..
 
Yeye kazoea nyumba inazungukwa na majabali na matumbawe...
 
miniliendaga moshi ......
yaani kale kamji ni sawa na kutoka mbagala77 had zakhiem........
sijaona sehemu ya kuishi nje ya dar
 
Hoja yako ni mfu sana, ntajishusha sana kuijadil but ngoja nkujibu....hao ni wafrika eh hapa mwanza

View attachment 405199View attachment 405200
Utalii Wa Arusha sio wa wageni watatu Arusha group moja unaweza kukuta wageni 50 hilo ni group moja labda college au school au company sometimes pale clock tower unaweza kukuta idadi ya wazungu imezidi idadi ya wenyeji pia wageni wanaoamua kubaki Arusha kama permanent residing unaweza kukuta ndio idadi ya watalii waliofika mwanza mfululizo wa miaka mitatu.

Kipindi cha high season watu wanageuza nyumba zao lodge na wanapokea watalii wakutosha ukitaka picha nakupa.
 
Mwanza pa ovyo sana. Saa tatu tu usiku ukiwa town kama ujala ujue unaweza lala na njaa,cz hata chips huwezi pata.

Halafu kuna kaeneo kao kamoja kanaitwa Salma koni,yani kila msukuma anapasifia. Kabla sijafika mwanza nilikuwa nasikia habari za Salma koni, nifikiri ni bonge la sehemu pa kujiachia. Kuja kufika, sikutamani tena kurudi. Papo local sanaa..
 
Yaani kama mwenge-bamaga-sayansi-moroko-namanga-st peter's ndio traffic light kwenye jiji zima la arusha? yaani barabara ya ali hassan mwinyi ina traffic lights nyingi kuliko mji mzima wa arusha?!
Vipi kuhusu mwanza kiongoz...zipo zipo ngapi...maan hapa ligi kubwa n kati ya mwanza na arusha...dar iweke pembeni...!
 
Hakuna hotel ya Hyatt regency arusha hyo ni proposed na labda ipo under construction, Fiona tower ni incomplete na sidhan kama imeisha, parrot hotel labda imefunguliwa Jana...aim mall haijakamilika...cjui umenielewa we mburura? Au unabisha we masai
Mara ya mwisho kufika chuga. na gari la dagaa. Ni lini weww msukumaaaa,,, mshambaaa
 
Mkumbushe kuwa ,,, UZUNGUNI kuna kila ya maendeleo ila uwezi kuyaona ukiwa barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…