Nilichogundua kuhusu Arusha

Lazima ushangae kwenye jiji la mabilionea kama we we ni kapuku kaa mbali.

Kimemo Estate, Arusha

Clinton alivyoiita Arusha Geneva hakupepesa macho wala kumung'unya ulimi hahahaaaa
Tembea ujionee hivyo vibanda vya kulingishia kweli..
Jiji hata taa za kuongezea magari hamna
Soko limezidiwa na wanaohitaji..
Standa kuu kama kituo cha Daladala..
Vp niendelee?
 
Hapana 70% ya wakazi wa jiji wana Huduma ya maji iwe mlinani au bondeni.....changamoto ilikuwa ni matumizi ya vyoo ila sa hv tatizo hilo ni almost zero
Tofautisha bike na hayo malanga langa..

Unataka picha za Apartments Arusha utaletea nyingi mpaka uchanganyikiwe.. Zingine umewekewa huko juu umeishia kupita kama huzioni
 
Tembea ujionee hivyo vibanda vya kulingishia kweli..
Jiji hata taa za kuongezea magari hamna
Soko limezidiwa na wanaohitaji..
Standa kuu kama kituo cha Daladala..
Vp niendelee?
Kila theard ya Chuga utakuta wanapost picha zilezile....af hzo house zipo kama Tatu NNE hvi.. Sa jamaa wanasnap mbele, nyuma ba pemben AF wanakwambia ni real estate.....wanakimbilia porini kusakua lodge af wanakwambia hyo ni town center
 
Huwezi kufananisha jiji la washamba,(mwanza) na arusha hata kidogo
Naamin huna hoja ila umeandika kishabiki...anyway kuvuta bangi na viroba ndo ujanja...? Ukitoa dar na Tanga miji yote iyobaki hasa bara watu wake wanaishi traditionally...but Ze way wanavyoish haiwazuii kufanya maendeleo....hapo Chuga watu mtaani wanaongea kimasai, kirangi, kiarusha nk wakiongea kiswahili lafudhi inakuw mbovu kinyama
 
Kila theard ya Chuga utakuta wanapost picha zilezile....af hzo house zipo kama Tatu NNE hvi.. Sa jamaa wanasnap mbele, nyuma ba pemben AF wanakwambia ni real estate.....wanakimbilia porini kusakua lodge af wanakwambia hyo ni town center
naura hotel
 
Tembea ujionee hivyo vibanda vya kulingishia kweli..
Jiji hata taa za kuongezea magari hamna
Soko limezidiwa na wanaohitaji..
Standa kuu kama kituo cha Daladala..
Vp niendelee?
Kwahiyo Arusha hakuna traffic lights???
Kweli wewe kapuku wa kutupwa hats Arusha hujawahi fika fanya mpango uje kuhiji huku we mlalahoi.

Arusha zipo traffic lights zaidi ya 6 mjini.
 
Kwahiyo Arusha hakuna traffic lights???
Kweli wewe kapuku wa kutupwa hats Arusha hujawahi fika fanya mpango uje kuhiji huku we mlalahoi.

Arusha zipo traffic lights zaidi ya 6 mjini.
Hakuna kitu kama hcho zpo kama mbil kama skosei...
 
Kila theard ya Chuga utakuta wanapost picha zilezile....af hzo house zipo kama Tatu NNE hvi.. Sa jamaa wanasnap mbele, nyuma ba pemben AF wanakwambia ni real estate.....wanakimbilia porini kusakua lodge af wanakwambia hyo ni town center
Hahahaa liwazaneni tu mmeshapata kipigo cha mbwa mwizi mnajiumauma mambo za kijinga kweli Arusha is way far than you nuts.

Washamba hata hamjui maana ya real estates!!
The Manor Cottages Arusha

Feel the vibes of the arusha estates hapo hivo vitu kwenu ni ndoto za mang'am-ng'am.
 
Fisadi kuu mbna umeniletea mburura sana...daaah we ni mshamba kwel kwel ngoja nikalale....najua Chuga kuna vitu vizur...tafuta tafuta bas....sio kutuletea pagale za kawaida sana hata mosh zipo za kumwaga
 
Hiyo picha haina tofauti na Dodoma....kumbe Chuga pa kichoko sana...tafuta picha nzur nzur bas mbna unakuwa mshamba we Masai....tupia picha collectively ya mji wa Chuga sio mnatafuta lodge moja moja mnaweka
Picha za Arusha ulishawekaga mwenyewe humu.. Sijui unataka nini we jamaa... Alafu wewe kama sio mitindo huru sijui..

Hiyo picha haina tofauti na Dodoma....kumbe Chuga pa kichoko sana...tafuta picha nzur nzur bas mbna unakuwa mshamba we Masai....tupia picha collectively ya mji wa Chuga sio mnatafuta lodge moja moja mnaweka
Hapa ndio umefika kama unataka mamega pixels tuliza kirambas tu.
 
Fisadi kuu mbna umeniletea mburura sana...daaah we ni mshamba kwel kwel ngoja nikalale....najua Chuga kuna vitu vizur...tafuta tafuta bas....sio kutuletea pagale za kawaida sana hata mosh zipo za kumwaga
Kwanza umechanganya.. Huyo aliyepost hiyo sio mimi... Alafu kama Moshi zipo nyingi basi ni vyema kabisa. North Empire..

Sasa tuwekee pagala la kishamba kama hilo kutoka Mwanza... Nitakufa hapa hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…