Mwanza wakiweka sehemu iko hivi naomba nipigwe life ban... hahahahahahaLazima ushangae kwenye jiji la mabilionea kama we we ni kapuku kaa mbali.
Kimemo Estate, Arusha
Clinton alivyoiita Arusha Geneva hakupepesa macho wala kumung'unya ulimi hahahaaaa
Unazijua five star hotel? Au unakurupuka tu kama ushuzi recently hakuna five star hotel arusha...labda zifunguliwe Leo....leta data kama ubabishaKama mambo huyajui uliza hakuna hotel iliyofilisika Arusha zinabadilishwa umiliki tu zipo hotels kama 5 five star tupu mpya Arusha 2 hazina mwaka zinazinduliwa na 3 zipo U/C early stages Arusha will always be a hot cake for tourism.
Lazima ushangae kwenye jiji la mabilionea kama we we ni kapuku kaa mbali.
Kimemo Estate, Arusha
Clinton alivyoiita Arusha Geneva hakupepesa macho wala kumung'unya ulimi hahahaaaa
Umekrupuka....hujui kwa nin nlipost hyo kitu...Mbona kama bado haijaanza kujengwa umetuwekea picha za kupiga badala ya blue print?
Ya kwanza na ya pili zinaonekana kama blueprint lakini zilizobaki ni ziro kabisa.
Jiji halijapangiliwa kabisa at least njiro, moshono,sakina
Nenda kijenge,ungaltd matejo,eso daraja2 na kwingine utashika kichwa unplaned + uchafu mzee
Acheni uzombie nyie...sasa huu ndo ujanja...I thkn am discussing with nonsense guysMkuu niongezee kidogo. Yaani fasheni ikiingia mwanza, Mji mzima unaivaa wanakuwa saresare mji mzima. Alafu useme Mwanza kuna wajanja ?
Hapa umeongea kwa hasira mkuu!!Nilichogundua nimeona km uliishia kilombero pale. Mi nimeenda karibu mikoa yote tz lakini miji mizuri huku mikoani ni mwanza ikifuatiwa na arusha. Ila km ukienda kisiasa hasa ukiwa ccm, arusha kamwe sio mji mzuri kila kitu chake ni mbaya.
Mbna umekuwa mshamba Hv....leta photos not an imageGrand Vue Apartments... Mwanza hivi vitu mtaota tu
Unaonaga Wascottish wanavyovaa visketi?? Yani huo ni utambulisho wa machalii wa Arusha.. Inaitwa minyonyooAcheni uzombie nyie...sasa huu ndo ujanja...I thkn am discussing with nonsense guys
View attachment 404465View attachment 404466View attachment 404467
Haya Ni mabanda ya nini mkuu?bata au nguruwe?Grand Vue Apartments... Mwanza hivi vitu mtaota tu
Mkuu na hapa unga limited kwan wanaishi nguruwe?Unaonaga Wascottish wanavyovaa visketi?? Yani huo ni utambulisho wa machalii wa Arusha.. Inaitwa minyonyoo
Hivi humu wanaishi watu au??
Unataka picha??? Haya hii ndio tofauti ya Arusha na Mwanza..Mbna umekuwa mshamba Hv....leta photos not an image
Unachukua picha za Tandale unasema Unga Limited hehehehe niwekee link ya hizo picha hapa
Msongo: GET TO KNOW:UNGA LIMITED- ARUSHAUnachukua picha za Tandale unasema Unga Limited hehehehe niwekee link ya hizo picha hapa
Hayo mashindano ya bike uliyoweka wewe siyo ya mwanza...tupia linkUnataka picha??? Haya hii ndio tofauti ya Arusha na Mwanza..
Mwanza mashindano yao maarufu ni mashindano ya langa langa baiskeli...
Arusha ni mashindano ya Magari..
Sasa wewe hadi hapo huoni kuna tofauti kweli??
Hzo apartments ulizoweka ni michoro/renders not real photos...so ulijarbu kucheat then ukachepukia kwenye mashindano ya bike na magariUnataka picha??? Haya hii ndio tofauti ya Arusha na Mwanza..
Mwanza mashindano yao maarufu ni mashindano ya langa langa baiskeli...
Arusha ni mashindano ya Magari..
Sasa wewe hadi hapo huoni kuna tofauti kweli??
Kuhusu eti ambulance wala magari hayapiti ni uongo. Ni sehemu chache sana ndizo hazifikiki kwa Gari..
Tofautisha bike na hayo malanga langa..Hzo apartments ulizoweka ni michoro/renders not real photos...so ulijarbu kucheat then ukachepukia kwenye mashindano ya bike na magari