Nilichofanya leo Mlimani City

Well done, Usalama wa nchi yetu upo mikononi mwetu. Hao askari hawakuonyesha ushirikiano kabisa iltakiwa wamkamate kabisa na kwenda kumhoji kituoni, kuanzia anapoishi na uraia wake haya masihara yanaweza kutu cost sana, mtu unawezaje kupiga picha cctv camera halafu useme unalinganisha...kweli ? Tuwe makini hao askari hawakuwa makini kabisa..
 
Hongera kk,kwann usiwe usalama wa taifa tu maana unajua ku dadisi had raha
 
nchi hii ya ajabu sana usishangae ukatafutwa na kufunguliwa mashtaka ya kutumia vibaya kamera ya cm yako na kumdhalilisha muwekezaji, sipati picha Kova akitoa maelezo ya makosa yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ati muwekezaji
 
Watu wabaya hawaji na camera ya simu wanakuja na hidden camera...ulichofanya ni ujinga..mbona tukienda nchi za wengine tunapiga picha bila bughudha
 
baada ya kuona hii na nikiwaza kwamba wiki ijayo kuna mahafali ya chuo cha udsm yatakayopelekea kuwa na watu wengi sio siri moyo unashtuka na kuingiwa na kahofu fulani...
...mmmm, maneno yako kuhusu mahafali. Yamenifanya niwaze sana kwamba picha zako hizi xitakuwa muhimu sanka...
 
Mimi ningehakikisha najifanya polisi ningemtia mikwara hiyo lazima angetoa Pesa mpuuzi huyo
 
We mnoko mbona na wewe ulimpiga picha bila ridhaa yake huoni kuwa hilo ni kosa kubwa zaidi? Pia wewe ni mbaguzi sana na ukienda nchi za watu utateseka sana.
 
We mnoko mbona na wewe ulimpiga picha bila ridhaa yake huoni kuwa hilo ni kosa kubwa zaidi? Pia wewe ni mbaguzi sana na ukienda nchi za watu utateseka sana.
Suala la ulinzi na usalama wa Taifa haliwahusu vyombo vya ulinzi na usalama pekee yao, bali ni letu sote.

Fikiri kwa kutumia akili huru bila kutumia mitazamo ya kiimani.
 
Suala la ulinzi na usalama wa Taifa haliwahusu vyombo vya ulinzi na usalama pekee yao, bali ni letu sote.

Fikiri kwa kutumia akili huru bila kutumia mitazamo ya kiimani.
Angekuwa mbongo usingefanya hayo, kweli?
 
Angekuwa mbongo usingefanya hayo, kweli?
Hata mbongo akiwa na viashiria hatarishi kwa Taifa au jamii, ni wajibu wetu sote kutoa taarifa kwenye mamlaka husika ili kuepusha maafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…