Sio Polisi ni security wa Mlimani city,ningeenda Polisi nisingefanikiwa kumfuatilia!
umefanya la maana hao inawezekana wanapanga.mbinu kama za nairobi NAKUMAT MALL
Hii ya Nakumat sijaisikia.
Mimi naijuwa ile maarufu ya west gate mall Nairobi.
Niliifatilia sana lakini sijaona mwenye ndevu na kanzu akishikwa.
Umefanya vizur sana kaka ila ungemftilia Zaidi,hizo picha kazidelete ziko kule kwa trash atazirudisha tuu..mngechukua details zake pia.Sio Uislam Mkuu,soma Tena nilichoandika,kilochonisukuma kumfuatilia ni zile sehemu alizokuwa anapiga Picha!
Kuipiga Picha security camera location ilipo Kwenye Ile varanda kwa Juu Ile ambayo chini yake watu hupumzika,na wengine hupishana wakitembea sasa kwa Juu kuna security camera jamaa alikuwa anapiga,
Pili,zile venting Au AC nafikiri kwa Juu Pia jamaa alikuwa anapiga Picha na alipoambiwa tuonyeshe camera yako zikakutwa na zingine Akiwa ndani shelf,Eti anataka acompere na game ya South Africa Hilo jibu Mimi halikuniridhisha Mkuu,Hapa Bongo utakinganisha vingapi na Europe Au sehemu nyingine vinavyofanana?etc.mwisho akaambiwa afute akafuta.
Jamani wewe hujiulizi tuu???
Be fair&humanity friend.
Sio Uislam Mkuu,soma Tena nilichoandika,kilochonisukuma kumfuatilia ni zile sehemu alizokuwa anapiga Picha!
Kuipiga Picha security camera location ilipo Kwenye Ile varanda kwa Juu Ile ambayo chini yake watu hupumzika,na wengine hupishana wakitembea sasa kwa Juu kuna security camera jamaa alikuwa anapiga,
Pili,zile venting Au AC nafikiri kwa Juu Pia jamaa alikuwa anapiga Picha na alipoambiwa tuonyeshe camera yako zikakutwa na zingine Akiwa ndani shelf,Eti anataka acompere na game ya South Africa Hilo jibu Mimi halikuniridhisha Mkuu,Hapa Bongo utakinganisha vingapi na Europe Au sehemu nyingine vinavyofanana?etc.mwisho akaambiwa afute akafuta.
Jamani wewe hujiulizi tuu???
Be fair&humanity friend.
Westgate mall ndo kuna nakumatt kubwa zaidi nairobi ndo maana myoa comment karefer km nakumatt
Kuna mahali popote penye katazo la usipige picha hapo Mlimani City?