Nilichapa bakora mtoto wa jirani akafa

Kitendo walichofanya watoto sio kizuri na.kilistahili adhabu


Lakini Shida sio kuchapa....ila unatakiwa uchape kwa kiasi kama umri wa mtoto


Miaka kumi unamchapaje viboko 20??????

Na mzazi kakaa anashangilia!!!!(ingawa watoto wana makosa ndio... ila ku a limit...sio unamaliza ugalj wako wote kwa watoto wa miaka 10)
Huyu jamaa alikuwa na hasira za shule,labda mpenzi wake alimkataa.
 
Yani umeua mtoto kwa kumchapa? We Jinga kabisa, yani wewe ni pimbi kabisa! Ningekufahamu ningetafuta namna ya kuifufua hiyo kesi ya Jinai, unasemewaje?

Hao watoto wa miaka 10 kuna mahali tu wameiga, wangeelekezwa tu kwa upole wasingekuwa na shida wangeelewa na kujirekebisha, we falaumeua mmoja, pumbavu kabisa!

Yani wewe unajiona ni kamanda saa Sita? We ni Kenge sana!
Aisee!!!
 
Chai bila vitafunwa,halafu haina sukari sasa! Yaani umetuhumiwa kuuwa,upate msamaha ndani ya miezi 11?? Huo msamaha nani alikupa??

Watu wanakaa hadi miaka 10 gerezani huko,ndiyo wanakuja kutoka kwa kukutwa hawana hatia,na sio msamaha kama unavyosema wewe! Tuambie nani alikupa huo msamaha??
Nyie endeleeni kusema huu ni uwongo, huu mkasa nimeuelezea juu juu tu sitaki kuingia deep inside nisije nikazalisha mambo mengine
 
Baada ya kumaliza diploma yangu ya clinical medicine katika chuo cha mafinga ile nimefika tu mtaani siku ya pili nikakuta watoto wawili wa wapangaji wetu walikuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile umri wao ulikuwa miaka 10.

Nilichukua bakora nikawachapa ,bakora 20 kila mtu wakati natoa adhabu hiyo wazazi wao walikuwepo tena walikuwa wanasema wachape bakora za kutosha waache tabia zao chafu,baada ya kucharaza bakora kila mtoto akaenda kwao.

Kesho asubuhi bahati mbaya mtoto mmoja akuweza kuamka (alifariki) sasa balaa likanijia mimi wale wazazi hawakunielewa wakaenda polisi wakasema mimi ndio nimeua nimempiga mtoto na gongo na mateke kisa ameiba nyama daaaaaah!

Kufupisha huu mkasa kifupi nilikaa mahabusu miezi 11 nashukuru MUNGU nikapewa msamaha kwa kuua bila kukusudia,sasa hivi nikikuta watoto wanafanya Mambo ya ajabu nawaacha kama walivyo sifatishi ule msemo "mtoto wa mwenzio muone Kama mtoto wako".

NB:Aisee tuishi kibepari tuachane na ujamaa, kama mtoto hakuhusu au hata kama unamjua awe ameiba, watoro shuleni nakusihi nk.. nakushauri achana nao jifanye kama hauwaoni kila mzazi afe na mzigo wake.
Mzee hapo mwishoni umeongea point sana kuwa kila mzazi abebe mzigo wake mwenyewe sasa mbona unanianguha kwenye uzi uliosema unamgombania mtoto asie wako, achana na huyo mwanamke ampeleke huyo mtoto kwa baba ake.
 
Huyo mtoto itakuwa ulimpiga sehemu mbaya

umesoma clinical medicine alafu hujui sehemu hatalishi ktk mwili wa binaadam?

Ningekuwa hakimu ningekufunga japo miaka 5 kwa kosa la kutoijua vizuri taaluma yako
 
UMEUA MTU ... damu inakufata nyuma unaanza kuweweseka
Biblia inasema wanaofanya ulawiti waume kwa waume wauwawe na DAMU YAO ITAKUWA JUU YAO!! NA USIMNYIME MTOTO MAPIGO!! Jamaa ana nafasi yake mbinguni tayari. Ndiyo maana hata Jaji kampa adhabu ndogo na kakaa mahabusu muda mfupi, wenzake wanakaaga miaka 7 halafu wanaishia kifungo maisha
 
Back
Top Bottom