Nimeamua kuwa single kwa mwezi 2 sasa bila ya demu yeyeto nimejikuta nmefanya makubwa kama kununua subufa 2 tv flat inch 21,na laptop japo c dukani na cmu aina ya lumia 600 na kujiwekea sh laki 5 bank nkaamini mademu wanarudisha maendeleo nyuma
Ukikata na dushe utajenga gorofa....
Unataka papuchi for free umemuoaa
Ukikata na dushe utajenga gorofa....
Dah! Nimecheka sana kwa hii comment yako.
Bure hakunaga, akatoboe mgomba labda....
Hata mgomba unaununulia mbolea..
Kanunua sabufa na boom matangazo jf akijenga si tutakoma
Bure hakunaga, akatoboe mgomba labda....
Hapa ndo huwa wanawake mnaishia kusema hatuna bahati kwanini utake mwanaume akuhonge?
[/B]
Wapi nimesema nataka mwanaume anihonge?
Bahati nzuri nimeshavuka huko
hahahaha SIPATI PICHA NA UKAKASI WA MGOMBA UTAKOVYOMUUMA KIBAMIANI