QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 699
safi sana inaonyesha before ulikuwa na speed sana ya kuhonga wasichana ..!!
Ukikata na dushe utajenga gorofa....
Kumbe!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ukikata na dushe utajenga gorofa....
Subiri tu nyege zikikupanda utajikuta unahonga vyote na kumwachia ATM card kwani ibaonekana wewe ni bwana dhaifu kwa wanawake
Sio na watu ambao hawajui hata ku budget na ku balance mambo yote yaende!
Hahahahahaha acha kutuumizia mbavu zetu jamani
iga ufe
Ndio nini hicho?
He doesnt know that behind and infront of every successful MAN there is a WOMAN!.
Akiufanyia kazi atafika mbali...Ushahuri mzuri sana
Nimeamua kuwa single kwa mwezi 2 sasa bila ya demu yeyeto nimejikuta nmefanya makubwa kama kununua subufa 2 tv flat inch 21,na laptop japo c dukani na cmu aina ya lumia 600 na kujiwekea sh laki 5 bank nkaamini mademu wanarudisha maendeleo nyuma