Niliapa kutosimulia

Niliapa kutosimulia

Hii story yako kama ya kutunga na inawezekana umekopy kwa mahali hapa umeedit majina na lokashioni na bus ulilotumia na hiyo guest. Hivi kwa akili ya kawaida mwanamke aje tu umgegede tena mke wa mtu bila kumtongoza au kukaa naye mahali mkaongea mambo hata ya maisha? Basi huyo mwanamke hata jina la changudoa halimtoshi labda, gudegude.
Au ulikuwa unaota ndoto hivyo umeamua utuandikie?


Asubui na mapema naanza safari kutoka mitaa ya tabata kuelekea ubungo, ni mida ya saa kumi na moja, rafiki yangu julius kajitolea kunisindikiza ili niwahi basi la SUMRY la kwanza liendalo mbeya. Ofcoz safari yangu inaishia iringa lakini ni mara yangu ya kwanza kwenda huko so nataka niwahi kufika ili nipate nuda wa kutafuta hotel nzuri ya kufikia.

Nakumbuka jana wakati nakata tiketi niliamua kuchagua makusudi seat no E.2 iliyo koridoni baada ya julius kunipa ushauri kuwa madem wanapenda sana seat za dirishani so nichague ya koridoni ili kutoa nafasi kwa mdada kukaa pembeni yangu. Kimsingi hakutaka niwe bored sana katika hii safari ndefu so akanambia nikikaa na msichana kutakua na vistory vya hapa na pale (sina uhakika kama kweli ndo yalikua malengo yake halisi)

Ni mtu kama wa kumi hivi kuingia ndani ya basi, katika seat E.1 namkuta mzee wa makamo, kwa mbali natabasam,ofcoz moyoni namcheka julius, kachemka na theory zake za kitaa. Namsalimia mzee kisha nakaa. Saa kumi na mbili kamili tunaanza kutoka ubungo, trafiki katika geti la kutoka wanakagua magari so tunasimama kwa muda. Mara mtu anagonga body la basi kwa nje, konda anafungua mlango kwa nyodo, "mnaniacha jamani" sauti nzuri ya kike inalalamika, huku akionyesha tiketi yake. Abilia wote tunaangalia mlangoni kushadadia ni nani huyu aliyachelewa namna hiyo.

Duh, anaingia mtoto mzuri, binti wa makamo mrefu kiasi, kabalikiwa umbo la ile namba maarufu ya kiungo mshambuliaji a.k.a namba nane. Anaangalia juu katika seat namba kuitambua seat yake, tayari basi risharuhusiwa, na tuko mataa ya ubungo. Mara anasimama pembeni yangu na kumuuliza mzee seat no yake ni ngapi. Nashtuka kidogo na kumuomba mzee tiketi yake nipate kumsaidia kuthibitisha!! lahaula mzee kakosea seat, seat yake ni F.1 nyuma yangu. Bila hiyana anampisha mrembo na kuhamia nyuma. Nashindwa kujizuia nacheka kichinichini sababu utabili wa julius umejidhihirisha ingawa kwa kuchelewa.

Dem ananisalimia, kisha anakaa, headphone maskioni hana muda na mengineyo,.Moyoni namsifia kwa uzuri wake huku nikimuangalia kwa kuibia. tunavuka kimara nafumba macho kufidia usingizi wangu niliokatisha.
Mpaka CHALINZE hatujasemeshana neno lolote, Duh huyu dem kauzu, ni muziki tu na yeye.Isiwe taabu napotezea nafumba macho tena.

Morogoro hiyo, napiga moyo konde natoa elfu kumi namuomba aninunulie vocha kwa dirishani, "ya sh ngapi" duh najikuta nasema ya pesa yote. Muuzaji ana moja moja,usumbufu kukwangua nikakataa. Usihofu ngoja nikuhamishie mimi coz nina air time ya kutosha. MMH anaomba no yangu nampa ananihamishia elfu kumi then anabaki na pesa.

namshukuru then namuuliza anaitwa nani, PRISCA na wewe, nikamwambia..then nikamuuliza iringa ni mwenyeji, akanambia ni kwao, alikuja dar kwa interview tu. Ikabidi ni confess ugeni wangu na kumuomba aniambie wapi naweza kufikia(HOTEL). Dem akanambia nisihofu atanisaidia then tukapiga kimya tena. Mpaka KItonga ndo katoa headphone tena.."kaka hii ndo kitonga kama uliwahi kuisikia". NIkachomoza shingo kuchungulia kidogo lahaula kitonga inatisha lakini pia macho pembeni kifuani kwa mrembo kwa juu kidogo naweza kuona bolibo zake zilivyokaa vizuri, mmh huyu dem mzuri.

natamani kitonga iendelee mpaka iringa but ndo tushaivuka ivyo so najiadjust, then safari inaendelea. Kimya mpaka IRINGA tunashuka, Prisca anaita tax ananambia niingie anipeleke kwa hotel coz kuna hotel nzuri jilani na maeneo anayoishi. Mojakwa moja mpaka hotel inaitwa wilolesi.Prisca ananisaidia bag ya laptop na mie nabeba mizigo mingine mpaka reception. napata chumba prisca ananiaga then kaondoka.

Mawazo yangu yote kwa prisca, duuh DAR kuna madem lakini huyu mtoto ni moto!! nimeamua kuagiza msosi chumbani, hii baridi ya iringa sitoki humu chumbani haki ya nani. SAA tatu usiku nakula msosi wangu, mara SMS "mambo vp, umelala" duh hii no kama naijua nimeiona wapi?? "sijalala nakula, sorry nani mwenzangu" mala "mimi prisca kwan nilivyo kuhamishia vocha huku save my no"

Hatari, moyo mbiombio, nikajibu "sikuserve" akanitext "Good night" then kimya.Kesho yake baada ya mizunguko yangu na mwenyeji wangu Mr. Kalinga . nikarudi hotelini. Kama kawaida nikaagiza msosi kwa chumba mida ya tatu kasoro, nimemaliza kula tu mara ko koko.. "karibu" nikijua ni muhudumu ...yallabi tobaaaa..PRISCA huyu apa. kanisalimia na tukajuliana hali then nikamuuliza kulikoni mida hii tena bila taarifa. Dem kaanza kunisuta.."unadhani jana sikukuona ulivyokuwa unaniangalia, ulivyokua unanichungulia maziwa" ofcoz najua nilikuvutia na ukweli hata mie unanivutia sana" duh majanga.. dem kakaa kitandani kanishika mkono, story mbili tatu mara kiss, kanivua shati bado siamini wala kutambua nini kinaendelea kapiga jeans yangu chini, azam Fc a.k.a lambalamba ikaanza..kapiga koni kashuka mpaka nazi zinazoning'inia,..walai prisca kaamia maskioni..nduguyenu nimekata kauli... kanilamba mpaka macho, prisca hatariiiii..katoa nguo zake zote..nikaona isiwe kesi nikamvamia na mimi, ndani ya blanketi ni pump za kutosha,..napiga round ya kwanza ..nakumbuka nimecheza PEKUPEKU. yalaaaah

Prisca akavaa na kunambia "ntakuona kesho" then kaondoka..duh huyu dem jini?? afu nimepiga peku??mbona haongei sana??why kanifanyia haka ka mchezo kirahisi namna hii?? siku yangu ya mwisho kuwa iringa niko na Mr karinga baada ya mambo yetu. Then ananambia kampigia simu wife wake aje kutujoin ili anitambulishe, ni wazo jema so napiga ndovu yangu huku tukimsubili shemeji..DUUH bajaji si Gari.. PRISCA huyuapa, kavaa pete ya ndoa anakuja moja kwa moja na kukaa pembeni ya KARINGA..Bia imenikwama, moyo unanidunda. Natambulishwa na Mr Karinga kwa prisca, ananambia ni juzi tu alienda Dar kufanya interview CRDB. Mwenzenu sina Kauli...Mr. kalinga anaendelea kuongea, ananambia kuna vitu anataka kunionyesha...namuuliza vinahusu biashara tunayoianzisha, ananisogezea simu yake, Mtumeeee..ni picha zangu na prisca ndani ya mahaba pale wilolesi...naanza kutetemeka ..prisca anauliza vipi, Karinga anasema anajua ushenzi tuiofanya, anamuonyesha prisca zile picha, HE ..prisca anaanza kulia kwa chini chini..karinga akasema ili asinichukulie hatua yeyote niondoke kesho na nisikanyage tena iringa..dUH Sijawai kukamatwa ugoni..naomba msamaha..jamaa anaita tax na kuniamuru niondoke..namuuliza vipi kuhusu MILLION 10 zangu tilizolipia jana mashambani, coz hataki kuniona tena iringa. Jamaa akawa mbogo, kasimama katoa bastora..."unataka nikuue kwa kutembea na mke wangu" duh isiwe kesi nikaomba msamaha nikaingia kwa tax aliyoniitia nikaondoka. Njiani dereva anamsifia karinga kuwa ni mnyama hatari, (labda kunitisha) ...

Keshoyake asubui huyo ndani ya sumry mpaka dar...nikaanza kuntafuta rafiki yangu michael aliyenikutanisha na KARINGA na wakanipa mchongo wa biashara hiyo ya iringa..duhhhhhhh michael hayupo kwake, naambiwa kaenda south africa..isiwe taabu... naenda mpaka kwao mbez louis..babayake ananambia michael hakumuaga pia sikuizi haendi hata kumsalimia...nikaamua kumpigia prisca ili nimuulize kama amewahi kumjua michael...duh hapatikani..

Ngoja nimsubili anyway coz michael ni mshikaji wangu wa kitambo.....miez sita ..hakuna mtu..Mpaka leo ni miaka miwili michael hajarudi dar.

SIjui nilitapeliwa (a pre-meditated scum) au ni chain of jinx or ni mshahara wa uovu sijajua ila hata JULIUS sijawahi kumsimulia kisa hiki licha ya kuniuliza mara kwa mara why sijaenda tena kufuatilia biashara zangu za iringa.

Niliapa kutosimulia mtu but leo nimeamua kuiachia
 
Hii story yako kama ya kutunga na inawezekana umekopy kwa mahali hapa umeedit majina na lokashioni na bus ulilotumia na hiyo guest. Hivi kwa akili ya kawaida mwanamke aje tu umgegede tena mke wa mtu bila kumtongoza au kukaa naye mahali mkaongea mambo hata ya maisha? Basi huyo mwanamke hata jina la changudoa halimtoshi labda, gudegude.
Au ulikuwa unaota ndoto hivyo umeamua utuandikie?

nyie ndo mliambiwa Twiga wamepandishwa ndege KIA mkaanza kupiga makelele kuwa "wametunga".....jiadhari mkuu utapeli huo upo
 
Kwahiyo unataka kunidanganya kuwa ilikutokea wakati stori yeyewe inaonekana ni kutunga, tatizo lako unaona kama watu wote unalingana nao uwezo wa kuelewa.

nyie ndo mliambiwa Twiga wamepandishwa ndege KIA mkaanza kupiga makelele kuwa "wametunga".....jiadhari mkuu utapeli huo upo
 
Kwahiyo unataka kunidanganya kuwa ilikutokea wakati stori yeyewe inaonekana ni kutunga, tatizo lako unaona kama watu wote unalingana nao uwezo wa kuelewa.

sorry mkuu muhusika ni BIA BORAmimi nimechangia, so haijanitokea....ila nimesoma post za watu kama wawili katika hii thread wakisema pia wamewahi kutapeliwa kwa style hii....kama wewe unaelewa vingine ni juu yako pia.....
 
Last edited by a moderator:
Hii story yako kama ya kutunga na inawezekana umekopy kwa mahali hapa umeedit majina na lokashioni na bus ulilotumia na hiyo guest. Hivi kwa akili ya kawaida mwanamke aje tu umgegede tena mke wa mtu bila kumtongoza au kukaa naye mahali mkaongea mambo hata ya maisha? Basi huyo mwanamke hata jina la changudoa halimtoshi labda, gudegude.
Au ulikuwa unaota ndoto hivyo umeamua utuandikie?

bwana[MENTION]kapalamsenga[/MENTION]kisa hiki kilinitokea, na nimeamua kukisimulia ili ku create awareness to this kind of scum, but haulazimishwi kukubali sababu it wont add any value or cure the damage.
 
Hahhahahha noma kweli hiyo ilipangwa wamekutapeli pole sana
 
pole sana mkuu...huo ni utapeli na hata aliekushauli kuhusu siti alikuwa anajua anachokifanya,sema fundisho hapo tuache tamaa hasa za kimapenzi...
 
Pliz naomba mwenye uwezo anisamaraiziee storry ndefu sanaa
 
Kama kweli Pole kwa yaliyo kukuta kijana nadhani ulijifunza kitu, ingawa hukutaka hata kutaja mwaka.

bwanakapalamsengakisa hiki kilinitokea, na nimeamua kukisimulia ili ku create awareness to this kind of scum, but haulazimishwi kukubali sababu it wont add any value or cure the damage.
 
Dah pole sana , nimeisoma hadithi nikaitafali , kwa upeo wangu hilo ni dili tena huyo rafiki yako ndio aliopanga nao , hapo kwenye siti ndipo nahisi rafiki alishiriki na jamaa , na huyo mzee naye pia alishiriki kwenye mchezo . Rafiki yako alikiwa anajuwa weakness zako hivyo wakapanga kumtafuta prisca walijua huto ruka kwake. Pole sana mchunguze vizuri rafiki yako utagundua tu ana connection nao kimtindo
 
Ni mpango mzima uliopangwa na Julius, Kalinga na Prisca. Nahisi kuwa Julius aliyekushauri kuhusu seat, na akamweleza Kalinga, na Kalinga akamshauri Prisca akate seat jirani yako. Hayo ni maoni tu!!! Kalagabaho!
 
kuna watu wanavamia kuamzisha thread za kutunga hazina kichwa
 
Kama ni kweli pole sana ulikutana na kundi la matapeli pale hapakua na wanandoa ulidanganywa mkuu. Hizo 10 m waligawana hao watu 3. Hata huyo rafiki yako huenda hakwenda huko south alijificha tu.Ama kweli utapeli kila siku una mbinu mpya.
 
Back
Top Bottom