gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 411
pole lishapita hilo hebu ni PM no Prisca nna issue naewote walikuwa matapeli na network yao ni kubwa na huyo mwanamke pengine c mkewe pole.
pole lishapita hilo hebu ni PM no Prisca nna issue naewote walikuwa matapeli na network yao ni kubwa na huyo mwanamke pengine c mkewe pole.
hata mie nahisi hivyo mkuu, tatizo ni ule ushahidi wa picha..ulinifanya nikashindwa kwenda polisi wala kusema chochote ..coz unaweza kutumika kusambaratisha ndoa mzee
kaka aliyekutapeli ni julius na si mwingine mana yeye ndie aliyekuunganisha na huyo malaya bila wewe kujua.
kaka aliyekutapeli ni julius na si mwingine mana yeye ndie aliyekuunganisha na huyo malaya bila wewe kujua.
Exactly my sentiments. Yaani kikulacho ki nguoni mwako. Julius alijua unakwenda Iringa kufanya nini na ulikuwa na pesa nyingi. Huyo Prisca alishakata tiketi yake kabla yako, it was not a coincidence. Mwanamke gani hujamtongoza, anajileta mwenyewe hotelini? Aliona uko slow sana kwenye kutongoza na mtego wao ungechelewa, ndio maana demu akajitoa ufahamu tu. Nani alipiga hizo picha zenu mkiwa hotelini?
Mmmmmmm! Subiri kwanza, hii story yako ni ya kweli au ya kutunga kaka?
mmmh..mkuu julius mpaka sasa ni mtu wangu wa karibu sana na amekuwa akinibana sana nimpe feedback ya iyo project ya IRINGA but mi nachuna tu..kimsingi ni mtu wa totoz sana maybe thats why alinishauri kufanya ivyo but unanishauri ni mface na hili swala?? kumbuka miaka miwili imepita
mkuu una uhakika na unachokiomba??? haipatikani sikuizi..ila naamini kabla hii dunia haijaisha ntakutana nae tu
story ya uongo hii, umebugi uliposema eti hukusave namba yake alipokutumia vocha kwa simu, hapo ndo ulipoharibu, kwa jinsi ulivyomsifia eti usisave namba? wapi wewe!