miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
mkuu huyo binti wa kichaga keshakuzimia tayari.
wewe taratibu nimevutiwa na bia tu hapo amna kingine huwa sizimiki kirahisi mkuuu
mkuu huyo binti wa kichaga keshakuzimia tayari.
Samahani mwenye andiko hili. Nimeyakuza maandishi ili nisome kwa urahisi. Kwa wengine "mnaoposti threads" zenu tafadhali jitahidini kukuza maandishi ili kutusaidia sisi tunaopata shida kusoma maandishi madogo.
nimeifanyia kazi mkuu,
Kama ni kweli basi watu wanasaka asee...
Kwa 10m unauziwa mke wa mtu? Tena kavu...
Au labda huyu prisca wala hakua mke wa jamaa....walikufix tu..
hajaliwa huyo, kwani naye si kagegeda peku..???hapo umetapeliwa yaani umeliwa mkuu.................pole sana rafiki si kila mwanamke wakuamini ,,... umejifunza sana........... leo naona utakuwa huru sana.... ila nimefurahi unavyojua kutoa sifa za mwanamke..
Hii ishu ipo ka ya yule waziri aliyeibiwa kila kitu Morogoro.
hajaliwa huyo, kwani naye si kagegeda peku..???
Barasu thanks mkuu
nani kapiga hizo picha wakati mlikuwa wawili tu na kiukweli nyote mlikuwepo busy?
mkuu unatisha!Hata huyo mzee aliyepotea seat yumo