unajua sana ku edit story ila hii ni story ya movie moja hivi jamii alitapeliwa kwenye train ivyo ivyo kama unavyosimulia sema ume edit baadh ila sio mbaya sana. theory yako sio mbaya sana umejaribu kuwashika watu ifanyie kaz unaweza kuuza kama ni movie
Mkuu mpaka mida hii siamini kama hii ni true story au nihadithi
kama za Mkuu mwenzio Mzizi Mkavu.
Nakama nitrue story basi jamaa nertwork babu kubwa na usije
shangaa kama Julius naye yuko ndani ya huo mtandao.
Hiyo story ya uongo nashangaa mnaotupia comment na kumpa pole. Hiv unaweza kufanya biashara ya mamilion na mtu usiomjua hata background yake? Ukienda kukopa tu duka la kitaa kiberit unatoa maelezo ya kutosha ndo transaction I take place sasa mamilion ya ela. Ina maana alizunguka na jamaa ashindwe kumuomyesha home kwel na mgen. Huu uongo unaodanganya leo utakuja kuchomwa nao moto amin nakwambia kijana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.