Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,541
nothing nothing
jamani.
jamani!!!!Ukute huyo mdada na faza hausi nae alijimegea.
Mahausigeli nawapendea hapo tu kwenye kuchanganya familia baba,mtoto mkubwa,mdogo mjomba,jirani,houseboy.
sasa uko na nani? JANE majina ya Kichagga, WASEMINARI MMEZIDI KUWALUNDIKA MADEMU WENGI
Ndio ukomeeee.....
Mke wako lazima awe makini na mahouse girl wake, ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha! Au wewe ni padri kwa sasa? Huenda baada Makoko ulienda Ntungamo.
mwe!!!,mbona una roho mbaya hivi?hahaha,ujana maji ya moto
una umri gani sasa
Afadhali umejua kuwa nina roho mbaya....ila utakuja tu kule jikoni kuomba msosi,ntakupiga kuni moja tu
Hivyo ndivyo mimi,kozo okamoto nilivyoingia kwenye dunia ya wakubwa,ile njaa niliyoihisi sijawahi kupata namna ya kuielezea mpaka wa leo na sijawahi kujua kama kila mtu huisi njaa.
Haahaa mi sitaki kukumbuka kbs ile mechi yng ya kwnz maana nlicheza na mgeni mwenzangu hakuna wa kumfundisha mwenzie hasa zaidi ya nadharia tuliokua nazo duh hua nacheka sn nikirudisha cku nyuma.