Sina mpango wa kuoa ila natafuta house girl. Je, inawezekana?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,774
24,209
Wakuu baada ya semina yetu kama chama cha UWABATA kufikia maadhimio ya kataa ndoa nmefanikiwa kuishi miaka mingi bila kuwa na mpango wa kuoa, hivyo target succeed ila japo watoto ni muhimu kuwa nao.

Changamoto zake
Nipo mvivu kupika but sipendi kula mgahawani.
Nipo mvivu kudeki, kufua na kufagia ndani.

Je, naweza kuishi na house girl (but hakuna kitu kitaendelea kati yetu rather than majukumu ya kila mtu)

Je, Jamii itanielewa?
 
Wakuu Baada ya seminar yetu kama Chama Cha UWABATA kufikia maadhimio ya kataa ndoa ......nmefanikiwa kuishi miaka mingi bila kuwa na mpango wa kuoa ..,.hivyo target succeed ila Kuna

Japo watoto ni muhimu kuwa nao .....

Changamoto zake
Nipo mvivu kupika but sipendi kula mgahawani
Nipo mvivu kudek, kufua na kufagia ndani

Je naweza kuishi na house girl....(but hakuna kitu kitaendelea kati yetu rather than majukumu ya kila mtu)

Je jamii itanielewa View attachment 2678126
Kwani hakuna ma dobi wa kufua nguo mtaa unaokaa, siku hizi kuna mpaka wadada kitaa wanafanya kazi za kufua nguo.. Bro wewe ni mayai sana yaani kupika chako mwenyewe mtu 1 nayo unaona kazi au nawewe umelelewa na house girl maisha ya gheto unaforce tu?
FB_IMG_16884533952420167.jpg
 
Kwani hakuna ma dobi wa kufua nguo mtaa unaokaa, siku hizi kuna mpaka wadada kitaa wanafanya kazi za kufua nguo.. Bro wewe ni mayai sana yaani kupika chako mwenyewe mtu 1 nayo unaona kazi au nawewe umelelewa na house girl maisha ya gheto unaforce tu?
View attachment 2678136
Hapana mkuu ....nmelelewa kimaskin. Japo kwetu nilikuwa wa mwisho kuzaliwa so haya mambo nipo mvivu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom