Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,372
- 9,489
Shauri yakoSio rahisi
Shauri yakoSio rahisi
Pamoja mkuu kesho nina kimalaza hiki kisaSusha madini tajiri 😁😁😁
Hauna baya
😄😄😄Wakati nasoma nikawa najisemea kimoyo moyo pimbi, chura, kenge nilipofika sehemu unasema ukiwa maskini unakua mbunifu kwenye kutongoza ikabidi niwe serious na uzi. Ebwana hapo ni kweli
Usisahau kunitagPamoja mkuu kesho nina kimalaza hiki kisa
acha kunitasha,Shauri yako
Poa Poa kiongozi.Usisahau kunitag
Hiyo episode iliyobakia iweke kwa lugha adimu ya kingereza 😁
Hiyo episode iliyobakia iweke kwa lugha adimu ya kingereza 😁
Sikutishi nasema ukweliacha kunitasha,
Hapana mkuu, sijakisoma bado, ngoja nikipitie.Pamoja mkuu nitafikiria kisa kingine cha kukiandika, ili tupate kuburudika na kujifunza pia.
Halafu kuna hii👇 ulishaisoma?
![]()
Mwanamke akikuhitaji ana code ngumu sana kueleweka
Miaka michache nyuma tulianzisha kikundi cha sanaa ya uigizaji mtaani kwetu. Mimi ndio nilitoa hilo wazo na kuwashirikisha vijana wenzangu ambao niliona wanaweza kufanya sanaa ya maigizo. Nilitoa hilo wazo baada ya kuwa nimeacha kufanya mazoezi na kikundi cha MTWARA SUPER FILM, kikundi maarufu...www.jamiiforums.com
Sawa mkuu nitakuwa nafanya hivyo, nalihifadhi jina lako sehemu maalum ili nisije kulisahau.Hapana mkuu, sijakisoma bado, ngoja nikipitie.
Dah, ndio hasara ya kukosa marafiki jamiiforum, wadau wanatupia vitu sijui. 😂😂😂
Uwe unanitag ndugu, Mimi mdau sana wa hizi mambo
🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu upo sehemu ya pili bado?Br usipo piga hapo humpati malizaa mwanetu
Mkuu tunakuacha huku usiseme sikukushtua.Wakina hanifa wakiiona hii post na wakajua kama official Kim ndiyo kaandika lazma watume wajumbe
Let's us seeSikutishi nasema ukweli
Kweli tajiri huna baya, hiyo ya mwisho unapost saa ngapi sasa?Tayari Binti Sayuni03 tunaenda mwisho sasa
Ni kesho nikijaaliwa kati ya saa 10 hadi saa moja jioni.Kweli tajiri huna baya, hiyo ya mwisho unapost saa ngapi sasa?
Duh tajiri tusubiri mpaka kesho jioni 😯😯😯Ni kesho nikijaaliwa kati ya saa 10 hadi saa moja jioni.