Ndevu mbovu;To some extent, nimejifunza namna unavyopata shida ku-cope na maisha uliyokuwa nayo ambayo uliyaacha hapa kwenu Tanzania,... yes, unaenda na wakati,...mabadiliko.Kwa upande mwingine nimejifunza ni namna gani ulivyo comfortable na hii situation ya shida zilizokushinda wewe hapa, kwa wengine ambao wanaendele nazo mpaka mda huu "vinahitaji umeme ...bara bara jams ,maji hakuna uhakika ...". As such siyo kwmba unalalmikia maendeleya nchi kuwa unaguswa na hali iliyopo, ila unatamba na kuifurahia kimoyomoyo kwa wale tunaoendelea kui-face. Hata hivyo tungeliweza kukuonea huruma sana kama tungegundua kuwa huko uliko pengine unabeba maboksi, ni mkata nyasi au ni loiterer ambaye ukiambiwa f**k* you inabidi useme ahsante, la unaweza ukapigwa risasi. ".........................HAKUNA UMASKINI MKUBWA DUNINAI KAMA UMASIKINI WA MAWAZO,.. J.K. NYERERE