Waacheni wabwate, wengine safari ndio wanaanza na walikuwa hawana ndoto hata za kutoka kijijini kwao. Kwa hiyo hata the basics of netiquette na decorum hawajui.Unasoma thread unaona kabisa huyu mtu katoka chini ya jiwe. Wewe unasafiri unaenda mpaka bongo ndiyo unajua kuna tatizo la umeme? Huna utashi au internet?Au ndiyo kutukoga tu siye wengine kina Kakamiye?
heheehe hizi screen hizi! mikwala yote hii pengine jamaa yuko cafe gongo la mboto.
ngoja tumpaishe....BULGARIAheheehe hizi screen hizi! mikwala yote hii pengine jamaa yuko cafe gongo la mboto.
mpenzi hujambo.......lini tunaenda ile hanemuni ili nitoe thread mapema kabla hujachakachua......maana samtaim sikuamini ujue
ngoja tumpaishe....BULGARIA
Haya humu naamini watamsema sana!
Maana kuna msamaria mmoja kwenye jukwaa la Love Connect ameahidi kusaidia mpz bila ku-do! Huko wamemuandama ...najiuliza sipati jibu. Kwani kuna wasi wasi mtu kuepo huko au kusaidia?
Huyu jamaa nami mara nyingi alisha wahi kuwasiliana nami kwa namba +514 zilianzia hivyo kama sijasahau.
soma hapa chini, hii code number si ya msumbiji hii?
Dah! jamaa akizembea kamezwa na papa! jiografia inasema bahari ya somalia ni hatari sana kwa papa!hapana dia.....ni ya Somalia
hahahhahaha yaani sitaki kucheka...nimeshiba sana nsijekubomoa nyumba bure!soma hapa chini, hii code number si ya msumbiji hii?
mwambie huyo, porojo nyingi oh boardguard ooh umeme , maji shida, ucjishaue hapa kwan ulikuwa huyajui huko? beba box hukoMajitu mengne bwana,kwani uliombwa uje huku??2ache na shida ze2 bana,we endelea 2 kupga box huko uliko.
Mdogo mdogo shosti! kicheko kisije kikasababisha lile zoezi letu la kitambi likahairishwa.hahahhahaha yaani sitaki kucheka...nimeshiba sana nsijekubomoa nyumba bure!
lile uchomoe weye tu...mie niko gado!Mdogo mdogo shosti! kicheko kisije kikasababisha lile zoezi letu la kitambi likahairishwa.
lile uchomoe weye tu...mie niko gado!
nami nshamtonya mama mwenye nyumba,akisikia gggrrrrrrrr ajuwe kuna mtu kapindwa na ngiri asije kutujazia mende!Hapa tayari nishapack viboksi vya ile kitu! halaf napita kujaza baskeli langu upepo nakuja.
Ustoe taarifa polisi
Dah! hii sredi kila ukiichakachua nazani ndio unaifanyia favour. Infact nafkiri tunadeserve kupongezwa kwa kuchangia sredi kama hii hata kama ni off topic. Inahitaji ujasiri kweli kucomment kwenye sredi kama hii.Shosti, klorokwini wameshaidaka hii thread bado aje Lizzy & co, basi hii thread is dead and buried.