kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Dogo yatosha Sasa lala bana tendea mwili wako haki yatosha nimesema yatosha nenda ukalale asee. Ni amri !Namana umenichoka kweli we mwanamke, unataka kuniua kwa mkakati wa kunizidishia mzigo hadi punzi ikate kwa bedzzz au siyo?
Asante mkuu nitafanya hivyoFakamia wanga za kutosha kwa ufupi anza kula bila mpangilio jibu utalipata chaaaap
🤣🤣🤣Namana umenichoka kweli we mwanamke, unataka kuniua kwa mkakati wa kunizidishia mzigo hadi punzi ikate kwa bedzzz au siyo?
Asante mkuu nitaifanyia kazi hii ratibaAsubuhi, chapati, supu na pepsi baridi..
Tafuna tafuna chocolate 🍫za kutosha..
Mchana gonga wali wako, na pepsi,
Saa 10 hivi kandamiza kiepe yai na soda baridi..
Shida unakula kula vi snacks
Usiku kula saa 4 au saa 5, ugali wako na nyama nyingi.. piga na pepsi
Kesho yake gonga uji na blee banda ya kutosha
Saa 4 chapati, mixer na soda..
Irudie ratiba hii, ndani ya wiki 2 utaipata habari yake
Jaziba hasara, kaa utulie ushushie maji kisha unieleze ni nini kimekusibu, maana naona haupo sawa kabisa.Dogo yatosha Sasa lala bana tendea mwili wako haki yatosha nimesema yatosha nenda ukalale asee. Ni amri!
Ushauri mzuri sana huu tatizo mudaWatakuja kukushauri ule kitimoto na Bia za baridi ,vuguvugu na moto..
Mie ushauri wangu kama una Mwanaume fanya mapenz mara kwa mara (Amwagie ndani). Lala usingizi mzr mwili utaongezeka kwa afya...
Asante kwa ushauri mzuri nitaufanyia kaziKula samaki sato wa kilo 2 kila siku, matunda mchanganyiko, nusu kuku mchemsho, mboga za majani, ndizi mchemsho, mchana upumzike; kila siku ule hivyo hivyo
Wala sina huyo mtu wa kunipangia ni mimi mwenyewe tu nataka nifike angalau hizo kilo za kiroba cha cementAmesema anataka mwanamke mnene kiasi? Asikupangie tafadhali,kesho atasema ukonde.
Ushauri wangu kulakula hovyo vyakula vya mafuta cute
Hiyo hapana ntakufa bureKunywa wanzuki.kamoko na kipili cha wali ndondo...
Majibu utapata...
Asante Dume nitafanya hivyoKula maprotin tu, yai, nyama, karanga, yani maprotin hadi tako litakua kubwa