Nikweli wasemayo?

Nikweli wasemayo?

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
Hi wana wa nchi...!!
Wanadamu upenda kusema kua, kama mtu hatumii pombe, avuti fegi, hapendi kwenda disco basi atakua mpenda ngono! Ili kwenu limekaaje? Mi binafsi situmii izo mambo, but demu wangu wa kwanza nimempata chuo mwaka wa pili, kilevi changu kikubwa ni mpira, napenda sana, kwenu nyie ikoje? Peace n love guys...
 
Threads zingine.. You can't help laughing... Jamani....
 
Yaani mshkaji ni kilaza kinoma kila mwaka wanakamata shatIi, mwaka wa tisa? chuo gani hicho ambocho reg inadumu kwa miaka 9?
 
hongera kwa kutunza bikira hadi mwaka wa pili chuo
 
ssa huyo mpenzi wako huwa mnaangaliana tu???hbu tutolee upupu wako humu
 
Back
Top Bottom