Nikweli nilikuwa nampenda!ila nimepata mwingine!!!

Nikweli nilikuwa nampenda!ila nimepata mwingine!!!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Ukweli nikuwa naye humu JF kwa mwaka sasa ila nimeachana naye naye simwingine najua nyote hili jina siyo geni masikioni mwenu!Ni huyu 2012 nimeachana naye na kwasasa ninaye 2013 ila sijui tabia yake namchunguza!!! Heri ya mwaka mpya wana Chit Chat wote nimeuna mwaka mpya!!
 
Happy new year bro KakaKiiza
Ni kweli tulimpenda sana 2012 but 2013 kawa mrembo zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Ukweli nikuwa naye humu
JF kwa mwaka sasa ila nimeachana naye naye simwingine najua nyote hili
jina siyo geni masikioni mwenu!Ni huyu 2012 nimeachana naye na kwasasa
ninaye 2013 ila sijui tabia yake namchunguza!!! Heri ya mwaka mpya wana
Chit Chat wote nimeuna mwaka mpya!!

hata mimi nimeachana na mtu chake rasmi....kwa sasa nipo mawindoni kumsaka nyonda mpya....HERI YA MWAKA MPYA mpendwa.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom