PILSNER
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 435
- 760
- Thread starter
- #121
Mkuu jina langu innocent andrea namba yangu ni 0752799685.Nisha mtumia na jina limekuja Inna dingimtoto
Mkuu jina langu innocent andrea namba yangu ni 0752799685.Nisha mtumia na jina limekuja Inna dingimtoto
Mkuu jina langu innocent andrea namba yangu ni 0752799685.
Mungu Akubariki Shunie [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu nimejisikia tu kukupa wala sitakukopesha kama kweli unamaanisha
Daah ila nyuma hukua hivyo comradeNisha mtumia na jina limekuja Inna dingimtoto
Ndio mkuu
Daah ila nyuma hukua hivyo comrade
Daah, ulikua humble kweli yaaniHahahaa nilikuwa vp? Na hiyo tabia ya kubadili profile picture kila siku najua tu ni yule mpumbavu wako amekufundisha..!
Daah, ulikua humble kweli yaani
Mpumbavu ni nani huyo?
Me napenda tu kubadili hamna mtu aliyenifunza
Umeshaharibiwa, dah[emoji20] hadi naona hurumaSo now days siko humble?
Umeshaharibiwa, dah[emoji20] hadi naona huruma
Unaona sasa, ambae hajui maana usimwmbie maanaHahahaa we ni empty set kabisa, nani alie niharibu?
Unaona sasa, ambae hajui maana usimwmbie maana
Sawa!!! bwana mkubwa ila kumbuka hukua hivyoLala ukue naona akili za usiku zisha kuingia tayari.
Uko dar?,nikuajiri?Nilikuwa mpaka najipendekeza kwa watu fulani wawe wananipa hata BUKU TU, kwa siku ili niwe nawasaidia kuosha magari bila mafanikio !
Nilishapata !Uko dar?,nikuajiri?
Mimi niko Dar, am interested hasa kazi za ndani.Uko dar?,nikuajiri?
Kuwa mchawi siyo mpaka upae na ungo aisee. Muombe sana Mungu akupe roho nyeupe.Nitumie ndugu yako niongezee Heineken hapa. Huyo si kajiunga juzi tu? Au alijiunga baada ya kuambiwa JF kuna shirika la good Samaritan????