bwana mdogo Mpe huyu comrade hiyo helaSawa
Upo eneo gani mkuu?Kama upo dar njoo nikupe kazi ya kuosha magar
Tatizo ID Mpya,Ungekuja na ya zamani mbona ungepata hela ya kufanya biashara ya msingi hata wa zaidi ya laki 2.Mkuu ni kweli unayosema lakini mimi sio mpigaji ndo mana nimekua muwazi.
Nashkuru mungu mkuu Shunie amenisaidia na kesho naenda kuanza biashara
Uko kiwanja gani white .... [emoji4][emoji4][emoji4]Nitumie ndugu yako niongezee Heineken hapa. Huyo si kajiunga juzi tu? Au alijiunga baada ya kuambiwa JF kuna shirika la good Samaritan????
mkuu nenda kahama kufanya kazi kwnye mshahara elfu 80 kwa mweziWasalaam
Mimi ni kijana wa miaka 21 naombeni mni kopeshe shilingi elfu saba ambayo nitailipa baada ya siku tatu
Lengo langu nataka nifanye biashara ya kuuza karanga ambayo mtaji ni elfu kumi na mbili.
Nilikuwa nafanya kibarua nimefukuzwa na bosi anadai anataka kupunguza watu.
Hata hii simu natumia ni ya jirani yangu nimeazima kwa muda.
Pia kama kuna kazi yoyote niko tayari kufanya. Kwa maana maisha yangu yamekua magumu sina hata hela ya kula yaani nimebaki na 5000/= ambayo ndio naomba 7000/= ili iwe 12000/=
Ndio uwe mtaji.
Sina ndugu ambaye atanisaidia shida hii.
Mkuu ni kweli unayosema lakini mimi sio mpigaji ndo mana nimekua muwazi.
Nashkuru mungu mkuu Shunie amenisaidia na kesho naenda kuanza biashara
Afu unaeza kuta ni memba maarufu tu humu kaamua kufungua ID mpya. Maisha yashamgonga hukooUmejiunga JF juzi tu alafu unaanza kupiga mizinga
Kwa maene niliyopo sheri za mafuta ziko mbali hivyo ntanunua mafuta sheri na kuyauza kwa bei 2500 mpaka 3000 kwa lita.
Hapana mkuu sijawahi kua member ila nilikua mfuatiliaji sana nlishindwa kujiunga kwa sababu nilikua natumia simu ya batani yenye opera mini hivyo nilikua nashindwa kujaza sehemu ya emailAfu unaeza kuta ni memba maarufu tu humu kaamua kufungua ID mpya. Maisha yashamgonga hukoo
Watu kama hawa, hasa kwa hela ndogo kama hii, unampa tu tena kwa roho njema bila manung'uniko. Tena unaiombea kabisa hiyo hela na kuibariki. Kama anakutapeli basi hiyo ni juu yake na Mungu wake. Ndiyo kanuni yangu hata ninapotokea kutoa sadaka kanisani. Mchungaji akiichukua sadaka hiyo na kwenda kununulia Hummer badala ya kuitumia kwa kazi ya Mungu basi hiyo ni juu yake na Mungu wake lakini mimi kazi yangu ninakuwa nimeshaimaliza. Vinginevyo hutaweza kusaidia mtu au kutoa msaada wo wote hasa siku hizi.Nitumie ndugu yako niongezee Heineken hapa. Huyo si kajiunga juzi tu? Au alijiunga baada ya kuambiwa JF kuna shirika la good Samaritan????
Hapana mkuu jina langu innocent andrea.Nisha mtumia na jina limekuja Inna dingimtoto