Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Punguza huruma bana, mtu unaombaje 7000 kwenye mitandao? Anawachora tuWakunyumba nimecheka sana ulivyoniambia nikutumie ujinywee heineken zako yaan maelezo yake yananitia huruma jamani
Punguza huruma bana, mtu unaombaje 7000 kwenye mitandao? Anawachora tuWakunyumba nimecheka sana ulivyoniambia nikutumie ujinywee heineken zako yaan maelezo yake yananitia huruma jamani
kauzuNitumie ndugu yako niongezee Heineken hapa. Huyo si kajiunga juzi tu? Au alijiunga baada ya kuambiwa JF kuna shirika la good Samaritan????
Anatumia simu ya jirani yake mkuu!Mbn ameanzisha mada alafu amesepa?
Kumbe wanawake wenye chura mna rohoo mbaya eeeeh!Nitumie ndugu yako niongezee Heineken hapa. Huyo si kajiunga juzi tu? Au alijiunga baada ya kuambiwa JF kuna shirika la good Samaritan????
msiba wa mwenzio uusikie kwa jiraniUmejiunga JF juzi tu alafu unaanza kupiga mizinga
Watu kama hawa, hasa kwa hela ndogo kama hii, unampa tu tena kwa roho njema bila manung'uniko. Tena unaiombea kabisa hiyo hela na kuibariki. Kama anakutapeli basi hiyo ni juu yake na Mungu wake. Ndiyo kanuni yangu hata ninapotokea kutoa sadaka kanisani. Mchungaji akiichukua sadaka hiyo na kwenda kununulia Hummer badala ya kuitumia kwa kazi ya Mungu basi hiyo ni juu yake na Mungu wake lakini mimi kazi yangu ninakuwa nimeshaimaliza. Vinginevyo hutaweza kusaidia mtu au kutoa msaada wo wote hasa siku hizi.
Ahahahahahahahahaha mshipa una akili nyingiUmejiunga JF juzi tu alafu unaanza kupiga mizinga
Hiyo pesa tunaomba utugawinyishie tuweke bando plz ahahahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakunyumba nimecheka sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ebu ukoHiyo pesa tunaomba utugawinyishie tuweke bando plz ahahahahah
Sawa mwenzaPunguza huruma bana, mtu unaombaje 7000 kwenye mitandao? Anawachora tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzy sana weweBasi sawa huyo alie kutumia ni mke wangu, akituma yeye ni kama nimetuma mm.
Asante msukumaMungu Akubariki Shunie [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kama upo dar njoo nikupe kazi ya kuosha magar
MKUU HUYU YUPO SERIOUS, ASAIDIWE. ni vile tu hapa nilipo sina balance kwenye M pesa yangu. Anitafute kesho mchana nimrushie elfu 30.Wizii mtupuuuuuuu, tena na tenaaaa mkome kabisa kuifanya JF kuwa kijiwe cha kupigia deal mbuzi, binafsi ningekuelewa kuelewa kama ungesimamia kwenye kutafuta memba atakaye kuwezesha kupata ‘piece work’ ya buku 7 ili ujikimu
mkuu tukiendelea kutumia kigezo cha muda uliojiunga JF ndo usaidike, watu watakuwa wanakufa kimya kimya kumbe wangesaidiwa. kwanza kasema simu sio yake so tusishangae amepotea...kikybwa mcheck pm, akupe namba utume hela. sawa?Umejiunga JF juzi tu alafu unaanza kupiga mizinga
KWANINI MANATAKA KIGEXO CHA KUJIUNGA LINI AU UPO KWA MDA GANI JF NDO KITUMIKE KUTOA MISAADA? Red Cross wakija kutoa msaada huwa wanauliza hili bomu limepigwa lini? au Polisi akija kukuokoa dhidi ya wananchi wenye hasira kali huwa kwanza anauliza umeiba nini?Nitumie ndugu yako niongezee Heineken hapa. Huyo si kajiunga juzi tu? Au alijiunga baada ya kuambiwa JF kuna shirika la good Samaritan????