Nikopesheni 7000\=

Nikopesheni 7000\=

Kama upo dar njoo nikupe kazi ya kuosha magar
Nilikuwa mpaka najipendekeza kwa watu fulani wawe wananipa hata BUKU TU, kwa siku ili niwe nawasaidia kuosha magari bila mafanikio !
 
ebu leta mchanganuo elfu 12 utakua na Karanga kilo ngapi,utauzia wapi ,faida kiasi gani?
 
Wasalaam
Mimi ni kijana wa miaka 21 naombeni mni kopeshe shilingi elfu saba ambayo nitailipa baada ya siku tatu

Lengo langu nataka nifanye biashara ya kuuza karanga ambayo mtaji ni elfu kumi na mbili.

Nilikuwa nafanya kibarua nimefukuzwa na bosi anadai anataka kupunguza watu.

Hata hii simu natumia ni ya jirani yangu nimeazima kwa muda.

Pia kama kuna kazi yoyote niko tayari kufanya. Kwa maana maisha yangu yamekua magumu sina hata hela ya kula yaani nimebaki na 5000/= ambayo ndio naomba 7000/= ili iwe 12000/=
Ndio uwe mtaji.

Sina ndugu ambaye atanisaidia shida hii.
Dogo anza sasa kuokota makopo ya plastiki yanalipa sana...usione aibu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom