Nikopesheni 7000\=

Nikopesheni 7000\=

Mods waweke utaratibu wa kueleweka ya nyuei kama hii la sivyo matapeli wa mitandao watapiga kambi JF, inaleta mashaka kidogo kwa member aliyejiunga juzi leo anaanza kupiga mizinga, japo shida haina mwenyewe wala haichagui siku!
MATAPELI HAWAJAANZA LEO jf, TANGU 2010 najiunga walikuwepo, ila mbinu zinabadilika. Ni uzembe wa Jamii Media kutokuweka utaratibu maalumu, pia sio uzembe, ni UNAFIKI WA HALI YA JUU maana kuna ambao waliombewaga msaada na JF yenyewe kabisa ikiongozwa na Melo, pia sisi walituchangisha sana enzi hizo. Nimemumia sana
 
Duh....ngoja na mm nitesti zali?
Wadau nipeni 6000/ Nna kiu na safari ndogo leo hali tete....

Ova
Ulifanyalo ni dhihaka. do you knos SOS?ni uataratibu dunia ilijiwekea, yaani ukipiga simu kwa mfumo wa SOS (haihitaji laini, vocha au hata network) NI LAZIMA WAJE WAKUSAIDIE hata kama ni kwa kuruka kwa ndege. Ni sawa na mtu anayekutmia SMS akiwa jela...hiyo SMS inaweza kuwa imemgharimu lunch yake ili tu apate nafasi ya kukutext.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitaka nimjibu vp? Hilo ndio jibu alistahili kabisa. Ngoja niendelee kusubiri gazeti kutoka kwako [emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzy sana wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitaka nimjibu vp? Hilo ndio jibu alistahili kabisa. Ngoja niendelee kusubiri gazeti kutoka kwako [emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naanzaje kukupa gazeti jamani mm na ww hilo lilistahili kabisa yaani haujakosea
 
Nasubili gazeti kuhusu ww kuwa mke wangu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naanzaje kukupa gazeti jamani mm na ww hilo lilistahili kabisa yaani haujakosea
 
Kama upo katikati ya jiji Okota Kopo.....karanga zitakuchelewesha kufika malengo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom