Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,959
- 3,987
HahahahaSasa kama kaenda kwa hewa nimekosa bahati mie nimeenda kwa chini ya bahari.
Wapo Njoo PM nikupe mkuuAise mimi tangu utoto napenda sana mabinti wenye hizi rangi adimu langi ambayo nikiiona nasisimka...
Kwa yeyote anayejua mabinti kama hawa wanakopatika katika Tanzania hii pls help me..nikaoe mmoja maana huku dar wote weupe.
Ramadhan kareem.View attachment 1097587
Kero namba moja kwangu ni mwanamke mvaa wigi sipendi sipendi..mwanamke anayevaa wigi ukifukisha ndani akatoa wigi lake unaweza kumsahau kuwa ndo yule uliyekuwa nae.Hakika bila unafiki ukiwa na mwanamke natural Coral kwa kizazi hiki,mwanaume lazima umshukuru Mungu maana kila unaye kutana naye ana kituko chake,kama sio wigi,basi mikucha,kama sio mikucha utakuta miguu Pepsi uso fanta yaani ni kero tu
Yaani tena bora liwe safi,ukikuta limevunda akilitoa harufu yake kama ushuzi wa kitimoto(nguruwe)Kero namba moja kwangu ni mwanamke mvaa wigi sipendi sipendi..mwanamke anayevaa wigi ukifukisha ndani akatoa wigi lake unaweza kumsahau kuwa ndo yule uliyekuwa nae.
Kweli mkuu ndani hakukaliki,maana utahangaika na kuwasha feni,lakini wapi maana harufu imechanganyika na mafuta bora upate dharura ya gafla kuepukana na hiyo adha,,Ndani kunakuwa hakukaliki
Na fkiri ni wanaume wote sema wengine hushindwa ujasiri wa kusema tu kuwa hawapendi hayo ma wigiKero namba moja kwangu ni mwanamke mvaa wigi sipendi sipendi..mwanamke anayevaa wigi ukifukisha ndani akatoa wigi lake unaweza kumsahau kuwa ndo yule uliyekuwa nae.
Mi huwa na wachana.. Ila inakuwaga ugomviKwahyo wanakufa na tai shingoni..dada zangu najua kuwa mnapita hapa; pls mawigi hatuyapendi ila tunaogopa kuwambia
myself naoaAise mimi tangu utoto napenda sana mabinti wenye hizi rangi adimu langi ambayo nikiiona nasisimka...
Kwa yeyote anayejua mabinti kama hawa wanakopatika katika Tanzania hii pls help me..nikaoe mmoja maana huku dar wote weupe.
Ramadhan kareem.View attachment 1097587
HatarWengi wao ni wastarabu Sana hawana complication nyingi pia kuna ile rangi wanakunayo tumboni na kwenye mapaja ni very amazing sana.
Hatimaye tumekumbukwa Watu weusiAise mimi tangu utoto napenda sana mabinti wenye hizi rangi adimu langi ambayo nikiiona nasisimka...
Kwa yeyote anayejua mabinti kama hawa wanakopatika katika Tanzania hii pls help me..nikaoe mmoja maana huku dar wote weupe.
Ramadhan kareem.View attachment 1097587
Kweli mkuu ndani hakukaliki,maana utahangaika na kuwasha feni,lakini wapi maana harufu imechanganyika na mafuta bora upate dharura ya gafla kuepukana na hiyo adha,,
AmenNyie mna sifa zote za kukumbukwa maana ninyi ndo mna uzuri wa mwafrica.
Mbona unawasemea wengine!???Na fkiri ni wanaume wote sema wengine hushindwa ujasiri wa kusema tu kuwa hawapendi hayo ma wigi