Niko tayari kuoa endapo nitapata mwanamke kama huyu

Hakika bila unafiki ukiwa na mwanamke natural Coral kwa kizazi hiki,mwanaume lazima umshukuru Mungu maana kila unaye kutana naye ana kituko chake,kama sio wigi,basi mikucha,kama sio mikucha utakuta miguu Pepsi uso fanta yaani ni kero tu
 
Kero namba moja kwangu ni mwanamke mvaa wigi sipendi sipendi..mwanamke anayevaa wigi ukifukisha ndani akatoa wigi lake unaweza kumsahau kuwa ndo yule uliyekuwa nae.
 
Yaani tena bora liwe safi,ukikuta limevunda akilitoa harufu yake kama ushuzi wa kitimoto(nguruwe)
 
Kero namba moja kwangu ni mwanamke mvaa wigi sipendi sipendi..mwanamke anayevaa wigi ukifukisha ndani akatoa wigi lake unaweza kumsahau kuwa ndo yule uliyekuwa nae.
Na fkiri ni wanaume wote sema wengine hushindwa ujasiri wa kusema tu kuwa hawapendi hayo ma wigi
 
Kwahyo wanakufa na tai shingoni..dada zangu najua kuwa mnapita hapa; pls mawigi hatuyapendi ila tunaogopa kuwambia
 
Mi huwa na wachana.. Ila inakuwaga ugomvi
Wanakwambia if i bought it, it's my hair...
 
Similar Discussions

21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom