Niko tayari kuoa endapo nitapata mwanamke kama huyu

Acheni unafiki. Mnawasifia tu huku kwenye mitandao ya kijamii ila mitaani mnawakashifu mkisema wamekomaa na mnawaona hawana status kama wanawake weupe.
Ingekuwa mnachosema hapa ndo mnachofanya mitaani wasingekuwa wanajichubua.
Wanawake weusi mbona wapo wengi tu tena hawajajichubua ila hamwutaki mnawaona wabaya.
Start practicing what you preach siyo kila siku kujiongelesha eti wanawake hawajipendi, wanajichubua.
I rest my case.
Si kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom