Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,959
- 3,986
Hakika bila unafiki ukiwa na mwanamke natural Coral kwa kizazi hiki,mwanaume lazima umshukuru Mungu maana kila unaye kutana naye ana kituko chake,kama sio wigi,basi mikucha,kama sio mikucha utakuta miguu Pepsi uso fanta yaani ni kero tu