Uzuri sinza ina chocho nyingi, sepa mkuu mwachie bill. Atajiongeza akidaiwa, atapiga short time mbili alipe bill na nauli ya kurudi kwao.Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....
Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....

Hilo shati lako la njano itakuwa limemkata stimu!Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....
Acheni roho mbaya jamani.Uzuri sinza ina chocho nyingi, sepa mkuu mwachie bill. Atajiongeza akidaiwa, atapiga short time mbili alipe bill na nauli ya kurudi kwao.





DeadHahahaha.....Hilo shati lako la njano itakuwa limemkata stimu!
Teh teh teh!Sasa hapo ulilenga kumtoa out au kumwingiza in? Hajafanya kosa lolote.
Ndio maisha ya sasa hamna namna. Endeleeni kufurahia!Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....
Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....
Hiyo lugha ya Bepari ilio letwa na Jahazi, kwa hakika inatu fedhehesha sana.Light now!! Au right now?
Ndiyo maana sitaki kujifunza kingredha
Mkuu.....ume prove kuwa yupo period? we unaaminije maneno ya kuambiwa?🙁🙁
Sina hakika kama mleta uzi atakua amekuelewa hapo kwenye umaliziaji kwa lugha ya bepari..Mkuu si ulikwenda mwenyewe kwa hiari yako? Pambana na yanayokukuta na sikuzote wanasema "experience is the best teacher".
