Lung'wecha
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 927
- 575
mwambie akakupe hivyo hivyo gizani
Sasa nifanyeje nimemgusa mkuu ila ndo duu
Mkuu si ulikwenda mwenyewe kwa hiari yako? Pambana na yanayokukuta na sikuzote wanasema "experience is the best teacher".Mama we edit utakavyo una asili ya uboss Ku edit , ila jua mie zinanitoka maana inagongwa redds ya 4
Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....
Wenzako tunaulizaga mapema hivi vipi upo safi,huumwi????Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....

Kama yupo period huwezi kutumia njia mbadala??Mkuu nawaza sana
Mkuu we acha tu nami nipo Singida hapa Jesalemu lodge jirani na stand mpya nimefanyiwa hivyo nami nimeamua kuona movie yangu don yenNimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....