Niko Sinza nachunwa

Niko Sinza nachunwa

Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....
Kumbe ni wewe. Nilikuona ulivyokuwa unatia huruma. Ila dodo kali yule. Umemuopoa wapi jamaa yangu?
 
make sure unahakiki kama yuko period kweli, asije akawa amevaa pedi tu
 
Nimemwambia nchamae out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....
lkn mkuu, hiyo rangi ya njano imenipa ukakaso coz n km ya chama flan. siji kukuokoa maana hiyo rangi siipendi. sorry
 
  • Thanks
Reactions: RFP
Kwan umeshikiliwa hapo mkuu? Ww sepa na hizo ndio hasara z kuchepuka. Hizi hela unazospend hapo bora ungezipeleka kwa familia yako
hela za kuchepuka anazo, na hela za kupeleka kwa familia anazo!
 
Duuuuuuuu, hivi watu wa aina yako bado mpo dunia hii...?? Dem kama hujawahi kumla, dawa yao unamaliza kabisa uko pouwaaa???
 
Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....
Hahahaaaaa.....
 
Pole mkuu! Ulitakiwa umwambie umepata emergency! Kuna family matter@
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom