Asante kwa kuniongezea siku zangu za kuishi maana nimecheka....!!!!!!!Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....
akili ya mwanadamu ni dhaifu sana,just simen discharges inampa tabu kiasi hiki??Mkuu nimecheka sana hasa ukitegemeaulihitaji kugonga mzigo leo.....haha haha inauma aiseee
Acha UzinziMkuu we acha tu nami nipo Singida hapa Jesalemu lodge jirani na stand mpya nimefanyiwa hivyo nami nimeamua kuona movie yangu don yen
Hatari sanaMkuu pole mwenyewe yaliwah nitokea Meridian Kino,daah anamimina Henken alaf hata kiuno hataki kuguswa nlimtoroka mpaka leo hatujawah onana,ukizubaa tuu badala ya kukuchuna kwa kisu atatumia maji ya moto kama kukchuna kama kitimoto, sepa mwachie manyoya maana kama nakuona ulivojaa Upepo
hahahaha mkuuuWenzako tunaulizaga mapema hivi vipi upo safi,huumwi????
Kipya????!!!!Kaka ndo apo, nilitaka nionje kitu kipya
Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....

Pole sana