Toria
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 1,177
- 700
Habarini zenu binafsi wanduguu!!!
Jaman hili jambo limenitatiza kama namuwazia ubaya huyu mtumishi wa Mungu basi niambieni...
Nimekulia kwa familia yenye misingi ya dini hivii kutokana na hilo wazazi wapo krb sana na huyu mchungaji to the extent hata sisi watoto tuna ukaribu na hii familia ya Mchungaji.Wakati nipo chuo mch.na mkewe walikua na kawaida ya kunipigia simu mara mojamoja kunijulia hali na kunipa ushauri wa hapa na pale which was ok for me kwa kua ilinisaidia kurudi kwenye mstari pale nlipojichanganya sana I gec maisha ya vyuoni mnayajua
After kumaliza chuo na kupata kakibarua changu hua mwisho wa mwezi siachi kuwatoa japo vocha both mr. N mrs coz nawachukulia kama wazazi vile.Kilichokua kinanishangaza kdg ni juhudi za huyu pastor za kunical sana kila mara tofauti na mkewe lkn nlijilazimisha kutofikiria lolote baya nkiamini ni ule ukaribu wa familia zetu n the fact since nkiwa kadogo kbs ananiona n he was just proud of me mpk hapa nlipofika
Lately akawa anazidisha sana kunipigia hata 3times per day na hamna maongezi ya msingi sana so mi nkishapokea cal moja nyngne sipokei coz kuna maongezi flan nlikuwa nayaona un-usual hapo msg nazo zikawa mingi japokua sio za kimapnz ni za incouragement bt hua naeza kumjibu tu 'asnt baba'..sasa juzikat akawa anataka nimwambie nkiwa kwenye mazingira ya utulivu anipigie tuongee nkamwelezaa mom the issue kutokana na imani yake kwa pastor akanambia do as he said umskie anasemaje but wala sikufanya hivo
Jana ndo kaniacha hoi baada ya kunipigia na kuniambia haya maneno ktkt ya maongezi, niwe karibu nae,niwe huru kumweleza jambo lolote,anatamani anikumbatie, niwe huru kuwasiliana nae mda wowote,nisimweleze mtu yeyote maongez yetu,nidelete msg anazonitumia,nitakua faraja na nitamfuta machozi nikiwa na ukaribu nae akamalizia na kunibusu mmmwaaaah!!...nimemtafakariii hata simmalizi hapa ananitwangia masimu ka mvua hadi simu yangu inakaribia kuisha charger sipokei
Nafkiria nimwambie my mom hizi fix za mchungaj si ndo atahama kanisa na ugomvi juu?angekua mtu wa kawaida na sio mch.ningekua nshamchana but nakosa a right way ya kumwambia anipotezee ikiwezekana hata hizo simu asinipigie tena na hali ibaki tu kua shwari btn us nsije nkapata laana bure....