MTWA
JF-Expert Member
- Aug 5, 2009
- 1,166
- 168
Siku nyingine akikupigia mpe BF wako apokee,kama mbwai mbwai bana,au namna gani vipi pokea alafu lia kama vile mko na jamaa yako sehem sehemu mna DUU, kama atakupigia tena huyo si pastor ni SHETWANI MKUBWA
Kwa urahisi sana, hata kama hajamwambia mama,
Amtishe kwa kumkumbusha kazi yake kama mchungaji, then mwambie Mama/baba ataongea nawe au mkeo kuhusu majukumu ya kanisa na nasi sote,
Atalia na kuanza kusali ili isiwe soo kubwa!