Niko safarini kuja DSM.

ushafika mujini au bado usisahau kufunga mkanda ni hatari ref sharo milionea..
 
umeona hilo joto....khaaa!..? sijui daslama mnaishije....karibu na huku Yaeda.....
 
Ukifika,Hela zako unipe nikutunzie niwe nakupa kidogokidogo kina bujibuji na boflo sio watu wazuri
 
NNimeenda New Africa, nikitoka hapo nitaingia Le Grand, kisha Palm Beach, nan ntapotelea Sea Cliff au Kilimanjaro Casino, halafu baada ya masaa matatu ntakupa mara 20 zaidi

Nakungojea Bujibuji umepotelea wapi mwanawane?
 
Last edited by a moderator:
Sante kwa ushauri, what if niko na Cruiser ya DFP?
hizo hela umekuja nazo zote mgeni wangu? Tumekuandalia itinerary ya xmas na mwaka mupya baba, sweetlady mpe brief basi. Afu haya matangazo unataka Paw awe ananipangia muda wa kurudi home. Huna siri wewe, aaah!
 
Last edited by a moderator:
hizo hela umekuja nazo zote mgeni wangu? Tumekuandalia itinerary ya xmas na mwaka mupya baba, sweetlady mpe brief basi. Afu haya matangazo unataka Paw awe ananipangia muda wa kurudi home. Huna siri wewe, aaah!

Hahaha, nimekujaje nazo nyingi, nishapewa ka-stipend kangu ka mradi, ni kuzitumbua tu.
We na Paw mi simo. . .hujajua mpaka leo namna ya kumshika sharubu alale?
Huyo sweetlady yuko wapi? This time mtakimbia.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom