Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,508
- 9,984
Nenda Sehemu utakayo Kuwa Vizuri Kiroho
Ukirud kwenye Uislam
Unajirudisha nyuma zaidi baadala ya Kusonga Mbele na Ukristo
Ni kweli. Ila angesema hata Logic moja ambayo Viongozi wake wa Dini walishindwa kumfafanulia ingekuwa vizur.
Ukitumia Logic ya science bas hakuna Mungu wala Dini.