Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Kwa mtu nisiyependa hypocrisy na ninayetambua kwamba hizi imani ni kama feel good factor kwa Muumini (sense of purpose especially kama hawezi kuipata realistically) nadhani two of the best religions ni zifuatazo:

The Baháʼí Faith is a religion that emphasizes the unity of all religions and all people. It teaches that the major world religions are all part of a single, progressive revelation from God.
Unitarian Universalism is a liberal religion characterized by its emphasis on theological diversity, social justice, and individual freedom of belief. It is a non-creedal faith, meaning it does not require adherence to a specific set of doctrines or a single definition of God. Instead, it emphasizes personal experience, conscience, and reason as guides in spiritual development.
 
Kila mtu anajiamulia future yake na destiny yake yeye mwenyewe.

Hakuna Mungu anayeamua au anayepanga future na destiny ya mtu.

That's why, Una uwezo wa kuamua unataka uwe daktari, mhandisi, mfanyabiashara, mcheza soka n.k kwa maamuzi yako na juhudi zako tu.

Kila mtu ana uwezo huo. Tatizo ni mazingira uliyopo.

Kila mtu ana uwezo wa kuwa na nyumba nzuri, usafiri mzuri na maisha mazuri. Inategemea na juhudi zako na mfumo wa nchi yako ulivyo.

Mfano, System ya Marekani 🇺🇲 jinsi ilivyo inamuwezesha mtu yeyote yule kuwa tajiri bila kujali background yako.

Kwa nchi za Afrika kutokana na mifumo mibovu ya kiutawala ndio maana unaona kwamba haiwezekani mtu kuwa kama Mo Dewji au Bakhressa.

Kwa mataifa yaliyoendelea uki hustle vya kutosha na kuwa na nidhamu ya fedha maarifa ya kibiashara una uwezo wa kuwa kama kina Bakhressa na Mo Dewji.

Hakuna yeyote anayepanga kitu au jambo lolote lile kwa binadamu.

Hapa ni kutokana na mifumo mibovu ya kiutawala wala sio Mungu.

Kwani ajali ikitokea ni lazima watu wote wafe?

Ajali yoyote ikitokea kuna mambo matatu ambayo ni lazima mojawapo lipo, WALA SIO MUNGU ndio kapanga.

Mambo hayo matatu ni;

1- Vifo vya abiria wote.

2- Vifo na majeruhi.

3- Majeruhi bila kifo chochote.

Kwa hiyo ajali ikitokea na abiria 49 wakafa, Abiria mmoja akapona wala sio Mungu ndio kafanya apone. Wala si Mungu ndio kamuepusha na ajali hiyo.

Ni bahati tu imetokea kwa abiria huyo mmoja kupona, kwa sababu ajali inaweza kutokea abiria 49 wakapona, Na abiria huyo mmoja akafa.

Hakuna Mungu anayelinda watu kwenye ajali.

Ajali inaweza kutokea na kuua abiria wote, ikaua wachache au isiue kabisa.

Ni suala la probability tu wala sio Mungu.

Kwa hiyo wananchi wote wa Marekani ni matajiri?maana umesema kule wanasapotiwa na utawala bora.
Kitu kingine umesema ikitokea ajali wakafa abiria 49 na mmoja akapona imesababishwa na bahati tu,sasa ni nani anayeitengeneza hiyo bahati au bahati asili yake ni wapi?
Pia ukasema bongo kinachowakwamisha watu kuwa matajiri ni mazingira au utawala mbovu lakini ukumbuke katika mazingira hayohayo ambayo wewe umeshindwa kuupata utajiri kuna wenzako wameupata utajiri je unadhani ni kitu gani kilichosababisha?Au tuseme hivi kwa mfano kwenye familia moja yenye watoto watano walioishi na kukulia kwenye nyumba moja miaka yote wawili wanatajirika lakini watatu ni maskini unadhani ni nini kinachosababisha?
 
Chochote tunachangia hapa kinaweza kuwa na msaada kwake katika lengo lake la kufanya hayo maamuzi, watu washatoa sana ushauri wa namna mbalimbali kutokana mitazamo yao tofauti tofauti hivyo mtu bado anaweza akashindwa kujua afuate ushauri upi.
Ushauri kwa huyu ndugu sahihi ni mmoja tu,ushauri ambao unamuelekeza kwa Kristo ili apate uzima wa milele.Chochote kingine tofauti na hichi ni upotoshaji tu.
 
Tatizo la Catholics hasa ni lipi?
Wana mafundisho mengi potofu ambayo yapo kinyume na Neno la Mungu.Ndio maana Biblia inaliita dhehebu Hilo 'MAMA WA MAKAHABA." Ikiwa na maana kuwa yapo makahaba ambao ni madhehebu mengine,hata Islam.I want to remind people that Islam is the brainchild of Islam
 
Huo Uislamu umekuwaje mama wa makahaba kwa lipi
 
Sijasemsa Uislamu ni mama wa MAKAHABA,wenyewe naweza kusema ni MAKAHABA, kwa kuwa umetengenezwa na Ukatoliki, ambao ndio MAMA WA MAKAHABA. Madhehebu ndio MAKAHABA.
 
Wana mafundisho mengi potofu ambayo yapo kinyume na Neno la Mungu.Ndio maana Biblia inaliita dhehebu Hilo 'MAMA WA MAKAHABA." Ikiwa na maana kuwa yapo makahaba ambao ni madhehebu mengine,hata Islam.I want to remind people that Islam is the brainchild of Islam
Unaweza kufafanua zaidi kuhusu hayo mafundisho potofu?
 
Sio mjuzi wa mambo sana ukiangalia kwa facts, kama mungu yupo basi ni dini ya mungu(kwa maana ya watu wanaofata mafundisho ya mungu ) basi bi waislam.
Ni maono tu!
 
Kwa hiyo wananchi wote wa Marekani ni matajiri?maana umesema kule wanasapotiwa na utawala bora.
Hakuna sehemu nimekwambia wananchi wote wa Marekani ni matajiri.

Nimekwambia na ninakwambia kwamba system ya Marekani inaweza kumuwezesha mtu yeyote kuwa tajiri akijituma.
Kitu kingine umesema ikitokea ajali wakafa abiria 49 na mmoja akapona imesababishwa na bahati tu,sasa ni nani anayeitengeneza hiyo bahati au bahati asili yake ni wapi?
Je ni lazima bahati iwe imetengenezwa na fulani?

Ukishaanza kujiuliza ni nani anatengeneza bahati, unatengeneza swali lingine la ni nani mtengenezaji wa mtengeneza bahati.

Na kuanzia hapo unatengeneza mtiririko wa maswali ya ni nani? ni nani? ni nani? ni nani?

Kwa hiyo kama BAHATI itahitaji kutengenezwa na fulani, Hata huyo mtengeneza bahati atahitaji kuwa na mtengenezaji wake mwingine.
Pia ukasema bongo kinachowakwamisha watu kuwa matajiri ni mazingira au utawala mbovu lakini ukumbuke katika mazingira hayohayo ambayo wewe umeshindwa kuupata utajiri kuna wenzako wameupata utajiri je unadhani ni kitu gani kilichosababisha?
Kwa Afrika kuna wanaopata utajiri kwa njia zisizo za halali na wanalindwa na viongozi ndio maana wana endelea ku survive.

Lakini ukijaribu wewe kupita kwenye hizo njia haramu huwezi maana huna support yoyote ya wakubwa.

Ndio maana wengi wanakwama kufikia utajiri.

Lakini kwenye system isiyo na konakona, una uwezo wa kuufikia utajiri kwa juhudi zako mwenyewe.
Au tuseme hivi kwa mfano kwenye familia moja yenye watoto watano walioishi na kukulia kwenye nyumba moja miaka yote wawili wanatajirika lakini watatu ni maskini unadhani ni nini kinachosababisha?
Kwenye familia kuna factors nyingi zinazopelekea watoto wengine kutajirika na wengine kutokutajirika.

Kuna ulevi, elimu n.k

Pia elewa kwamba hata kama mmezaliwa familia moja kila mtoto ana namna na njia yake atakayopenda kuifuata kukabiliana na maisha.

Hamuwezi wote kutumia njia moja kwenye maisha. Ndio maana kuna utofauti. Kuna ambao watakuwa matajiri na wengine wataendelea kubaki maskini kutokana na machaguzi yao.

Mfano mtoto moja aamue kuwa mwalimu, mwingine aamue kuwa mwanasiasa, mwingine aamue kuwa mfanyabishara.

Huyo mtoto aliyechagua kuwa mwalimu hawezi kutajirika kama hao watoto wengine waliochagua siasa na biashara.

Kwa hiyo machaguo ya mtu ndio yata determine kama ata tajirika au hatotajirika wala SIO MUNGU.
 
Sijasemsa Uislamu ni mama wa MAKAHABA,wenyewe naweza kusema ni MAKAHABA, kwa kuwa umetengenezwa na Ukatoliki, ambao ndio MAMA WA MAKAHABA. Madhehebu ndio MAKAHABA.
Sasa unakataa nini na unakubari nini, mimi nachukua neno lako la mwisho nilipo Bold 👆🏽 naomba ushahidi wa madai yako alafu uniambie Ukristo umetengenezwa na nani.
 
Ushauri kwa huyu ndugu sahihi ni mmoja tu,ushauri ambao unamuelekeza kwa Kristo ili apate uzima wa milele.Chochote kingine tofauti na hichi ni upotoshaji tu.
Ushauri wako wala si sahihi.

Wewe umelelewa kwenye ukristo ndio maana unataka kumshauri mleta mada amwelekee Kristo kwa vile ndivyo ulivyo aminishwa.

Wewe ungelelewa kwenye uislamu, ungemshauri huyu mleta mada amwelekee Allah.

Kwa hiyo unachofanya wewe ni upandikizaji wa imani yako uliyoaminishwa tu.

Wala hakuna ukweli wowote ule wa ukristo wako. Unajaribu kufosi na kupandikiza imani yako kwa mleta mada.
 
Ni sehemu ya maoni yako tunaheshimu mkuu, ila mkuu hata mtu wa imani nyengine pia anaweza kumshauri afuate imani nyengi kwa hoja kama yako tu kuwa ndio njia sahihi vinginevyo ni upotoshaji.

Haya mambo si rahisi kama tunavyoona, kwenye watu wa imani moja tu unakuta wanatofautiana na kila mmoja huona sisi ndio sahihi.
 
Ushauri wako wala si sahihi.

Wewe umelelewa kwenye ukristo ndio maana unataka kumshauri mleta mada amwelekee Kristo kwa vile ndivyo ulivyo aminishwa.

Wewe ungelelewa kwenye uislamu, ungemshauri huyu mleta mada amwelekee Allah.

Kwa hiyo unachofanya wewe ni upandikizaji wa imani yako uliyoaminishwa tu.

Wala hakuna ukweli wowote ule wa ukristo wako. Unajaribu kufosi na kupandikiza imani yako kwa mleta mada.
Kwahiyo ni sawa na wewe ukimlea mwanao katika mazingira ya kukana au kutokuamini uwepo wa Mungu naye si atafuata huo msimamo kwa sababu amelelewa hivyo?
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Dini itakusaidia nn Ndugu? Achana na dini ila muabudu Mungu,muamini Mungu.

Hapa ndo unatakiwa uwe makini maana Kuna miungu kibao ila Mungu ni mmoja tu!
Kila Mungu huwa ana namna yake ya kujifunua Kwa Wanadamu(sbb Mungu ,miungu zote ni Roho) zonazotumia miili ya Wanadamu na viumbe kufanya kazi!
Mfano ukikuta watu wanaabudu ngoja,miti,Simba etc manaake miungu yao ilijitambulisha hivyo Kwa kutumia hivyo viumbe etc...

Kwenye manifestation hapa ndo wengi wamepigwa wanaabidu miungu Kwa kutokujua(wengi tu) wengine Kwa kujua kabisa....

Mungu pekee na WA kweli ni Mungu wa Ibrahim isaka na Yakobo aliyejifunua kupitia Yesu Kristo Kwa uwezo wa Roho Mtakatifu!
Mungu akusaidie ajifunue kwako binafsi
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Kujiuliza kuhusu imani au jambo lolote kimaisha ni ishara njema inaonesha wewe unajitambua,la kufanya nenda Msikiti ulio karibu nawe au zungumza na mtu unayejua kua ana uelewa wa kutosha wa kidini fanya research,naamini utafanya chaguo lililo sahihi au kama vp niadd unielezee ni nini kimekuchanganya huko uliko na unahitaji kujua nini kwenye Uislam
 
Hakuna sehemu nimekwambia wananchi wote wa Marekani ni matajiri.

Nimekwambia na ninakwambia kwamba system ya Marekani inaweza kumuwezesha mtu yeyote kuwa tajiri akijituma.

Je ni lazima bahati iwe imetengenezwa na fulani?

Ukishaanza kujiuliza ni nani anatengeneza bahati, unatengeneza swali lingine la ni nani mtengenezaji wa mtengeneza bahati.

Na kuanzia hapo unatengeneza mtiririko wa maswali ya ni nani? ni nani? ni nani? ni nani?

Kwa hiyo kama BAHATI itahitaji kutengenezwa na fulani, Hata huyo mtengeneza bahati atahitaji kuwa na mtengenezaji wake mwingine.

Kwa Afrika kuna wanaopata utajiri kwa njia zisizo za halali na wanalindwa na viongozi ndio maana wana endelea ku survive.

Lakini ukijaribu wewe kupita kwenye hizo njia haramu huwezi maana huna support yoyote ya wakubwa.

Ndio maana wengi wanakwama kufikia utajiri.

Lakini kwenye system isiyo na konakona, una uwezo wa kuufikia utajiri kwa juhudi zako mwenyewe.

Kwenye familia kuna factors nyingi zinazopelekea watoto wengine kutajirika na wengine kutokutajirika.

Kuna ulevi, elimu n.k

Pia elewa kwamba hata kama mmezaliwa familia moja kila mtoto ana namna na njia yake atakayopenda kuifuata kukabiliana na maisha.

Hamuwezi wote kutumia njia moja kwenye maisha. Ndio maana kuna utofauti. Kuna ambao watakuwa matajiri na wengine wataendelea kubaki maskini kutokana na machaguzi yao.

Mfano mtoto moja aamue kuwa mwalimu, mwingine aamue kuwa mwanasiasa, mwingine aamue kuwa mfanyabishara.

Huyo mtoto aliyechagua kuwa mwalimu hawezi kutajirika kama hao watoto wengine waliochagua siasa na biashara.

Kwa hiyo machaguo ya mtu ndio yata determine kama ata tajirika au hatotajirika wala SIO MUNGU.
Atheists hoja zenu na maswali yenu yanachekesha sana kwa maana definition ya Mungu ni Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ulimwenguni sasa unauliza Mungu ametengenezwa na nani wakati yeye ndio muumba wa vitu vyote na viumbe wote waliopo duniani inamake sense?
Pili nikukosoe hapo uliposema kwenye familia kuna factors nyingi zinazofanya mwingine atajirike na mwingine asitajirike.
Nakupa mfano mmoja ambao nimeushuhudia kwa macho yangu ni hivi kuna familia moja ina watoto watatu wa kiume japo wote ni watu wazima kwa sasa hawa jamaa elimu yao inafanana,wote wanafanya kazi ya aina moja yaani ni designers wa nguo/car seat covers na wote wanafanyia kazi kwenye mtaa mmoja,hawa jamaa wote ni wanywaji pombe lakini mmojawao ametajirika ila wengine wawili hawajatajirika,hapo unasemaje?
Tatu una imani kwamba matajiri wote wa Africa wanatajirika kwa kufanya magendo na biashara haramu kisha ukasema wanaweza kufanya hivyo kwa vile kuna watu wa serikalini wanawalinda si ndio?Kwa nini na wewe usiamue sasa kwamba ufanye magendo kisha na wewe ulindwe unakwama wapi?
Kitu kingine unasema mtu yeyote akifanya juhudi katika kupambana lazima atajirike,hivi unapotaja neno juhudi unalenga nini specifically,ni juhudi ipi hiyo unayoizungumzia?Kwa mfano mtu anayeamka kila siku saa kumi alfajiri kwenda saiti kupiga zege na kurudi nyumbani saa nne usiku hii sio juhudi?kwa nini naye asitajirike kutokana na juhudi yake?
 
Atheists hoja zenu na maswali yenu yanachekesha sana kwa maana definition ya Mungu ni Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ulimwenguni.
Hiyo definition yenu ni definition uchwara mliyopumbazwa na dini zenu.
sasa unauliza Mungu ametengenezwa na nani wakati yeye ndio muumba wa vitu vyote na viumbe wote waliopo duniani inamake sense?
Thibitisha Mungu yupo.

Thibitisha kwamba Mungu ndio muumba wa vyote.

Usifosi imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa.
Pili nikukosoe hapo uliposema kwenye familia kuna factors nyingi zinazofanya mwingine atajirike na mwingine asitajirike.
Nakupa mfano mmoja ambao nimeushuhudia kwa macho yangu ni hivi kuna familia moja ina watoto watatu wa kiume japo wote ni watu wazima kwa sasa hawa jamaa elimu yao inafanana,wote wanafanya kazi ya aina moja yaani ni designers wa nguo/car seat covers na wote wanafanyia kazi kwenye mtaa mmoja,hawa jamaa wote ni wanywaji pombe lakini mmojawao ametajirika ila wengine wawili hawajatajirika,hapo unasemaje?
Utajua ni njia ipi huyo mmoja alitumia akatajirika licha ya kwamba ni mlevi?

Kufanya kazi moja haimaanishi kwamba lazima wote mtatajirika kwa wakati mmoja.

Kila mtu ana mbinu zake za kumfanya atajirike.
Tatu una imani kwamba matajiri wote wa Africa wanatajirika kwa kufanya magendo na biashara haramu kisha ukasema wanaweza kufanya hivyo kwa vile kuna watu wa serikalini wanawalinda si ndio?Kwa nini na wewe usiamue sasa kwamba ufanye magendo kisha na wewe ulindwe unakwama wapi?
Mimi sihitaji kufanya magendo ili nitajirike.

Nchi haiwezi kuendelea kama kila mwananchi atakuwa na mawazo na mtazamo wa kufanya magendo.
Kitu kingine unasema mtu yeyote akifanya juhudi katika kupambana lazima atajirike,hivi unapotaja neno juhudi unalenga nini specifically,ni juhudi ipi hiyo unayoizungumzia?Kwa mfano mtu anayeamka kila siku saa kumi alfajiri kwenda saiti kupiga zege na kurudi nyumbani saa nne usiku hii sio juhudi?kwa nini naye asitajirike kutokana na juhudi yake?
Juhudi zinategemea na mazingira uliyopo.

Ndio nikakupa mfano wa Marekani.

Sasa kwenye nchi za kiafrika ambazo viongozi ni wahujumu uchumi, Wewe raia wa kawaida hata ufanye juhudi za namna gani huwezi kutoboa. Kwa sababu mfumo uliopo ni wa upigaji na ubadhirifu.

Juhudi zinaendana na utawala bora na mifumo isiyo na rushwa, uhujumu uchumi wala ufisadi.

Unless otherwise na wewe ujiunge kwenye upigaji na ubadhirifu ndio uta tajirika.
 
Back
Top Bottom