Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Sawa tunazaliwa tukiwa hatuna imani ya aina yeyote ile ila pia tukiwa hatuna misimamo ya kupinga imani yoyote ile, lakini kwenye makuzi katika jamii tunakutana na misimamo ya kupinga baadhi ya imani au kupinga imani zote.

Sasa suala la kuzaliwa na kutokuwa na imani yeyote ile haina maana ya kwamba imani zote sio sahihi au hazipaswi kuwepo, maana pia tunapozaliwa tunakuwa hatujui wala wana hatuna maadili yeyote yale ila tunakuja kuyakuta na kujifunza kwenye jamii.
Ndio maana tunataka uthibitisho wa imani za kidini ili tupate kuhakiki usahihi wa imani hizi za kidini.

Sio kuzifuata na kuaminishwa imani hizi mkichwa mkichwa tu, bila uthibitisho na uhakiki.

Ndio maana siku zote sisi Atheists tunataka uthibitisho wa Mungu.

Tunataka kuhakiki huyu Mungu yupo kweli au ni stori za Alinacha tu.
 
Mkuu Ni nani kakwambia kwamba kama hakuna Mungu inapaswa kuwa hivyo?...... Au ni imagination zako tu zinazotokana na athari za kukaririshwa kila kitu anafanya Mungu?

Tumia akili yako vizuri kutafakari haya...... Kwenye ajali wakifa 49 akapona mmoja hiyo ni COINCIDENCE(wanaweza kufa wote au asife hata mmoja au wakafa baadhi) inategemea tu na position, namna gari lilivyo anguka na namna alivyotingishika wakati gari linapata ajali nk nk.
Hebu chukua watu bilioni moja uwake vichwa uone kama kuna hata mmoja Mungu atamponya...... Hatapona kwasababu kwenye kukatwa vichwa haku COINCIDENCE

Unataka kuniambia Mungu ANAPANGA kila kitu?....... Aiseeee

Kwamba ni Mungu amepanga wale waathirika wa vita kule Sudan, Somali, Congo, Palestina na hata Mdude na Mzee Kibao wapitie madhila wanayopitia kwasababu aliwapangia? Na je wauaji wananafasi gani kwa Mungu ikiwa Mungu ndio aliwapangia waue ili kutimiza MIPANGO yake?

Kama kweli unaamini Mungu anapanga kila kitu kwenye hii dunia Mkuu utakua na matatizo makubwa sana ya Afya ya akili
Bado hujajibu maswali yangu kikamilifu zaidi ya kuniattack tu.
Umesema kwamba ikitokea ajali watu 49 wakafa kisha mmoja akapona kilichosababisha ni coincidence tu kutokana na mtu position aliyokaa,je ni nani anatesababisha hiyo coincidence itokee kama ilivyotokea?
Maana kama ingekuwa hiyo coincidence inasababishwa na binadamu kila mmoja angeivutia kwake ili asife.
Na katika ishu ya wauwaji hujawahi kuona mtu anapigwa risasi ana kwa ana na hafi sasa kama ingekuwa hao majambazi ni waamuzi wa mwisho isingetokea hivyo,mfano mzuri Tundulisu alipigwa risasi 22 na hajafa je ni nani alikuwa mwamuzi wa mwisho hapo kwenye hatma ya uhai wa tundulisu?Nimetumia mfano wa Tundulisu ili unielewe kwa haraka maana vinginevyo ungesema haiwezi kutokea hivyo.
 
Hakuna sehemu nimesema kila mtu atapata raha kama tuipatayo sisi wengine. So, usiniwekee maneno yako kwangu. Sijihusishi kwa namna yoyote na tafsiri zako na hitimisho la 'shida yako'.
Fikiri kwa umakini zaidi.
Kama sio kila mtu atapata raha basi haikuwa sahihi kuniambia nami nijaribu kuwa bila dini baada ya kuuliza kwa vp iwe raha ukiwa bila dini.
 
Ndio maana tunataka uthibitisho wa imani za kidini ili tupate kuhakiki usahihi wa imani hizi za kidini.

Sio kuzifuata na kuaminishwa imani hizi mkichwa mkichwa tu, bila uthibitisho na uhakiki.

Ndio maana siku zote sisi Atheists tunataka uthibitisho wa Mungu.

Tunataka kuhakiki huyu Mungu yupo kweli au ni stori za Alinacha tu.
Mambo tunayoaminishwa ni mengi kuanzia kwa wazazi, shuleni, kwenye jamii n.k sio imani za dini tu. Hata mitazamo na misimamo ya atheists ni katika hayo hayo mambo tunayokuta kwenye jamii.
 
Tunahakiki mambo ili tupate ukweli wenye logical consistency.

Mambo ya Mungu na imani za kidini hazina ukweli wenye logical consistency.

Mungu na imani za kidini ni stori za danganya toto tu. Hazina ukweli wowote ule.
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Shauku yako ni sahihi kabisa mkuu.Naomba nikupongeze kwa mawazo haya sahihi kabisa,ambayo kwa ujasiri naweza kusema it is the Holy Spirit working in you.You can never realize Christ in religion.Naomba niseme hivi,mwana wa Mungu wa kweli ,hawezi kukaa kwenye dini au madhehebu kwa kuwa ni mpango wa wanadamu.So God works like this,He works out His plan and then we as His people invites us into the plan not the other way round.

Katika Ufunuo 18:3-5 we read,

Ufunuo 18:3-5
Ufunuo wa Yohana 18:3-5
3 kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake, na wafalme wa nchi wamezini naye, na wafanya biashara wa nchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.
4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
5 Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.

Who is this that the Word of God is talking about in Revelation 18:4-5,it is the Roman Catholic Religion.

And in 1 Wakorintho 1:11-13 we read,

1 Wakorintho 1:11-13
11 Kwa maana, ndugu zangu, nimearifiwa habari zenu na wale walio wa nyumbani mwa Kloe, ya kwamba iko fitina kwenu.
12 Basi, maana yangu ni hii, ya kwamba kila mtu wa kwenu kusema, Mimi ni wa Paulo, na, Mimi ni wa Apolo, na, Mimi ni wa Kefa, na, Mimi ni wa Kristo.
13 Je! Kristo amegawanyika? Je! Paulo alisulibiwa kwa ajili yenu? Au je! Mlibatizwa kwa jina la Paulo?

Again in 2 Corithians 6:14-18 we read,
2 Wakorintho 6:14-18
14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
17 Kwa hiyo,Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike.

So you see the Word of God is instructing us to get out of these evil entities called Religion,which are human creations, because once you align yourself with them,you are out of God's plan and God cannot work with you.

You know what religion is all about?See Mark 7:6-9.

Mark 7:6-9.
6 Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo Ila mioyo yao iko mbali nami;
7 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu,
8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.
9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.
12 wala hammruhusu baada ya hayo kumtendea neno babaye au mamaye;

Of course you will ask,sasa niende wapi.Stand on your own initially with your family,au kama huna a family stand on your own,God sees in you the desire to serve and obey him,He will make a way for you.Huhitaji watu elfu au nyumba iliyojengwa kwa mikono ya wanadamu ili liwe kanisa,hilo sio Kanisa ni nyumba ya ibada.Kanisa ni mkusanyiko wa watu wanaomuamini Kristo.

Mathayo 18:20
20 Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.

Mwisho niseme hivi,religion is satanic and pagan,avoid it at any cost.Mimi nimeshatoka huko, I am on my own,my family and a few people who truly believe in Jesus Christ.We do not have much time left,Jesus is coming very soon,so let's focus on Him, not things of this World like religion.

Huko unakokwenda is even worse,Allah is the Devil.so avoid Islam also.Afterall Islam is the brainchild of the Catholic Religion.Please feel free to contact me Incase of any questions
 
Tunahakiki mambo ili tupate ukweli wenye logical consistency.

Mambo ya Mungu na imani za kidini hazina ukweli wenye logical consistency.

Mungu na imani za kidini ni stori za danganya toto tu. Hazina ukweli wowote ule.
Mambo ya Mungu na imani za dini ni sehemu tu katika ujumla wa mambo yaliyo kwenye jamii zetu ambayo tunaanza kuaminishwa ama kufuata tokea wadogo.

Shida watu huwa wanafikiri tunaaminishwa kwenye masuala ya Mungu na dini tu na kudhani kutofuata hayo mambo basi unakuwa upo huru.
 
So ushauri wako kwa huyu ndugu ni nini,mbona hujatoa ushauri wowote,be clear,hili ni jambo la msingi sana.Bla bla tu hazitamsaidia sana.
 
Shauku yako ni sahihi kabisa mkuu.Naomba nikupongeze kwa mawazo haya sahihi kabisa,ambayo kwa ujasiri naweza kusema it is the Holy Spirit working in you.You can never realize Christ in religion.Naomba niseme hivi,mwana wa Mungu wa kweli ,hawezi kukaa kwenye dini au madhehebu kwa kuwa ni mpango wa wanadamu.So God works like this,He works out His plan and then we as His people invites us into the plan not the other way round.

Katika Ufunuo 18:3-5 we read,

Ufunuo 18:3-5
Ufunuo wa Yohana 18:3-5
3 kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake, na wafalme wa nchi wamezini naye, na wafanya biashara wa nchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.
4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
5 Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.

Who is this that the Word of God is talking about in Revelation 18:4-5,it is the Roman Catholic Religion.

And in 1 Wakorintho 1:11-13 we read,

1 Wakorintho 1:11-13
11 Kwa maana, ndugu zangu, nimearifiwa habari zenu na wale walio wa nyumbani mwa Kloe, ya kwamba iko fitina kwenu.
12 Basi, maana yangu ni hii, ya kwamba kila mtu wa kwenu kusema, Mimi ni wa Paulo, na, Mimi ni wa Apolo, na, Mimi ni wa Kefa, na, Mimi ni wa Kristo.
13 Je! Kristo amegawanyika? Je! Paulo alisulibiwa kwa ajili yenu? Au je! Mlibatizwa kwa jina la Paulo?

Again in 2 Corithians 6:14-18 we read,
2 Wakorintho 6:14-18
14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
17 Kwa hiyo,Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike.

So you see the Word of God is instructing us to get out of these evil entities,called Religion,because once you align yourself with them,you are out of God's plan and God cannot work with you.

You know what religion is all about?See Mark 7:6-9.

Mark 7:6-9.
6 Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo Ila mioyo yao iko mbali nami;
7 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu,
8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.
9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.
12 wala hammruhusu baada ya hayo kumtendea neno babaye au mamaye;

Of course you will ask,sasa niende wapi.Stand on your own initially with your family,au kama huna a family stand on your own,God sees in you the desire to serve and obey him,He will make a way for you.Huhitaji watu elfu au nyumba iliyojengwa kwa mikono ya wanadamu ili liwe kanisa,hilo sio Kanisa ni nyumba ya ibada.Kanisa ni mkusanyiko wa watu wanaomuamini Kristo.

Mathayo 18:20
20 Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.

Mwisho niseme hivi,religion is satanic and pagan,avoid it at any cost.Mimi nimeshatoka huko, I am on my own,my family and a few people who truly believe in Jesus Christ.We do not have much time left,Jesus is coming very soon,so let's focus on Him, not things of this World like religion.

Huko unakokwenda is even worse,Allah is the Devil.so avoid Islam also.Afterall Islam is the brainchild of the Catholic Religion.Please feel free to contact me Incase of any questions
Tatizo la Catholics hasa ni lipi?
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Baki kwenye ukristo. Ukienda uislam siku ukifa lazima shekhe aingie kaburini akuchinje koromeo lako na kisu ili wajiridhishe umekufa na ukiuacha uislamu adhabu yake ni wanakuua lakini pia utakuwa na urafiki na majini. Sema ukimuasi Mungu wa Kweli wa Ukristo basi shetanj huchukua nafasi zaidi ya kukupotosha. Kikubwa unachoweza amini hebu litaje jina la Yesu Kristo uone kama kuna Muislamu atasimama, yaani Yesu Kristo na waislamu ni adui sana na hawalipendi hilo jina pamoja na kuwa lipo kwenye vitabu vyao.
 
Dini ni psychological tool ili uwe dormant. Vigezo ni usiulize, usihoji wala usitafakari.
 
Mambo ya Mungu na imani za dini ni sehemu tu katika ujumla wa mambo yaliyo kwenye jamii zetu ambayo tunaanza kuaminishwa ama kufuata tokea wadogo.

Shida watu huwa wanafikiri tunaaminishwa kwenye masuala ya Mungu na dini tu na kudhani kutofuata hayo mambo basi unakuwa upo huru.
Imani za Dini/Mungu zinawafunga watu kwenye baadhi mambo na kuwanyima uhuru.

Imani za kidini zinawafunga watu kwenye mambo mengi kwa kigezo uchwara Mungu hapendi, Sijui Mungu kakataza, Mara ni dhambi/chukizo kwa Mungu.

Msabato hafanyi kazi jumamosi kwa kigezo uchwara eti ni sabato, siku ya mapumziko.

Mwislamu hali kitimoto kwa kigezo uchwara eti ni Haramu, Allah kakataza.

Mkatoliki asipotoa zaka,eti ni anamkosea Mungu.

Vyote hivi ni VIFUNGO UCHWARA vya kidini vilivyoweka kuwapumbaza na kuwaendesha wajinga.

Kwa hiyo kutofuata mambo ya Mungu na dini, Ni kujiweka huru na vifungo hivi uchwara vya kijinga.
 
Ingekuwa hakuna Mungu basi kila kiumbe au kila binadamu angekuwa anajiamulia future yake na destiny yake.
Kwa mfano kila mtu angeamua tu awe bilionea kama Mo Dewji au Bakhresa.
Kila mtu angeamua awe na nyumba nzuri,usafiri mzuri.
Ulishawahi kuwaza ni nani anayeamua na kuyapanga haya yote?
Najua hapa utakuja na jibu la magumashi kwamba masikini ni wavivu ndio maana hawatajiriki utasahau kwamba kuna watu wanakesha kazini kila siku na hawatoboi wanaishia kupata hela ya kula tu.
Nakuongeza swali lingine la kutumia logic tu za kawaida.
Kwa mfano watu 50 wanasafiri kwa bus,bus linapata ajali watu 49 wamefariki lakini mmoja anapona na kuendelea na maisha.
Je unadhani huyu mmoja ni nani aliyemlinda hadi akanusurika na kifo hali ya kuwa na yeye alikuwa ndani ya bus hilohilo?
Mkuu ikiwa mcheza filamu za ngono anaupata ubilionea kwenye kazi hiyo inaleta tafsiri gani kwa maelezo uliyoyatoa?
 
Cha ajabu si wacheza ngono wote ni mabilionea.
Watu wawili wanaweza wakawa wanafanya kazi kwenye kampuni moja na cheo kimoja kisha mmoja akawa tajiri na mwingine akawa maskini hapo ndipo maajabu ya Mungu yanapoingia.
 
Jibu swali hapo juu
 
So ushauri wako kwa huyu ndugu ni nini,mbona hujatoa ushauri wowote,be clear,hili ni jambo la msingi sana.Bla bla tu hazitamsaidia sana.
Chochote tunachangia hapa kinaweza kuwa na msaada kwake katika lengo lake la kufanya hayo maamuzi, watu washatoa sana ushauri wa namna mbalimbali kutokana mitazamo yao tofauti tofauti hivyo mtu bado anaweza akashindwa kujua afuate ushauri upi.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Dini ni psychological tool ili uwe dormant. Vigezo ni usiulize, usihoji wala usitafakari.
Sasa aliyefanya hivyo ni nani na kwa faida ya nani? Ni nani ambaye anatakiwa kuulizwa na kujibu hizo hoja katika dini?
 
Ingekuwa hakuna Mungu basi kila kiumbe au kila binadamu angekuwa anajiamulia future yake na destiny yake.
Kila mtu anajiamulia future yake na destiny yake yeye mwenyewe.

Hakuna Mungu anayeamua au anayepanga future na destiny ya mtu.

That's why, Una uwezo wa kuamua unataka uwe daktari, mhandisi, mfanyabiashara, mcheza soka n.k kwa maamuzi yako na juhudi zako tu.
Kwa mfano kila mtu angeamua tu awe bilionea kama Mo Dewji au Bakhresa.
Kila mtu angeamua awe na nyumba nzuri,usafiri mzuri.
Kila mtu ana uwezo huo. Tatizo ni mazingira uliyopo.

Kila mtu ana uwezo wa kuwa na nyumba nzuri, usafiri mzuri na maisha mazuri. Inategemea na juhudi zako na mfumo wa nchi yako ulivyo.

Mfano, System ya Marekani 🇺🇲 jinsi ilivyo inamuwezesha mtu yeyote yule kuwa tajiri bila kujali background yako.

Kwa nchi za Afrika kutokana na mifumo mibovu ya kiutawala ndio maana unaona kwamba haiwezekani mtu kuwa kama Mo Dewji au Bakhressa.

Kwa mataifa yaliyoendelea uki hustle vya kutosha na kuwa na nidhamu ya fedha maarifa ya kibiashara una uwezo wa kuwa kama kina Bakhressa na Mo Dewji.
Ulishawahi kuwaza ni nani anayeamua na kuyapanga haya yote?
Hakuna yeyote anayepanga kitu au jambo lolote lile kwa binadamu.
Najua hapa utakuja na jibu la magumashi kwamba masikini ni wavivu ndio maana hawatajiriki utasahau kwamba kuna watu wanakesha kazini kila siku na hawatoboi wanaishia kupata hela ya kula tu.
Hapa ni kutokana na mifumo mibovu ya kiutawala wala sio Mungu.
Nakuongeza swali lingine la kutumia logic tu za kawaida.
Kwa mfano watu 50 wanasafiri kwa bus,bus linapata ajali watu 49 wamefariki lakini mmoja anapona na kuendelea na maisha.
Kwani ajali ikitokea ni lazima watu wote wafe?

Ajali yoyote ikitokea kuna mambo matatu ambayo ni lazima mojawapo lipo, WALA SIO MUNGU ndio kapanga.

Mambo hayo matatu ni;

1- Vifo vya abiria wote.

2- Vifo na majeruhi.

3- Majeruhi bila kifo chochote.

Kwa hiyo ajali ikitokea na abiria 49 wakafa, Abiria mmoja akapona wala sio Mungu ndio kafanya apone. Wala si Mungu ndio kamuepusha na ajali hiyo.

Ni bahati tu imetokea kwa abiria huyo mmoja kupona, kwa sababu ajali inaweza kutokea abiria 49 wakapona, Na abiria huyo mmoja akafa.
Je unadhani huyu mmoja ni nani aliyemlinda hadi akanusurika na kifo hali ya kuwa na yeye alikuwa ndani ya bus hilohilo?
Hakuna Mungu anayelinda watu kwenye ajali.

Ajali inaweza kutokea na kuua abiria wote, ikaua wachache au isiue kabisa.

Ni suala la probability tu wala sio Mungu.
 
Imani za Dini/Mungu zinawafunga watu kwenye baadhi mambo na kuwanyima uhuru.

Imani za kidini zinawafunga watu kwenye mambo mengi kwa kigezo uchwara Mungu hapendi, Sijui Mungu kakataza, Mara ni dhambi/chukizo kwa Mungu.

Msabato hafanyi kazi jumamosi kwa kigezo uchwara eti ni sabato, siku ya mapumziko.

Mwislamu hali kitimoto kwa kigezo uchwara eti ni Haramu, Allah kakataza.

Mkatoliki asipotoa zaka,eti ni anamkosea Mungu.

Vyote hivi ni VIFUNGO UCHWARA vya kidini vilivyoweka kuwapumbaza na kuwaendesha wajinga.

Kwa hiyo kutofuata mambo ya Mungu na dini, Ni kujiweka huru na vifungo hivi uchwara vya kijinga.
Mkuu hata usipofuata imani za dini au Mungu bado kuna mambo mengi tu kutoka kwenye jamii ambayo hutujenga kuwa hivi tulivyo, jinsi tunavyoutazama ulimwengu ni kutokana na jicho la jamii zetu jinsi inavyoamini na nasi tumeathiriwa na imani hizo.
 
Back
Top Bottom