Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Imani thabiti sio issue ndugu yangu,unaweza kuwa na imani thabiti kwa Ngombe,lakini hiyo sio imani sahihi.Imani sahihi ndiyo issue.
Sasa unachofanya wewe hapa ni kuonyesha uthabiti wa imani yako(kitu ambacho watu wa imani zengine wanaweza kufanya) na si kuonyesha ni kwa vp hiyo imani ni sahihi.
 
Kama bado tu hujawaelewa wanazuoni mahiri wa kiislam walioeleza kwa wazi kuwa Waislam wanaruhusiwa kufuga au kuoa majini na kuzaa nayo .

Sasa unadhani dunia inasalimika vipi kama tunaishi na watu waliofuga majini katikati yetu.
Dunia inakuaje salama wakati katikati yetu kuna wakwe wa majini ,wajomba wa majini na shemeji wa majini ?

Jiulize kwa umakini kabla hujapotea kabisa na ukatupwa nje kabisa katika ufalme wa Mungu na kuingia katika ufalme wa shetani.

Kama wewe ni Binadam na sio mtoto wa kijini au mchanganyiko wa jini na binadam basi jiulize tu hivi ukrsto usingekuwepo dunia ingekuaje ?

Yaani leo hii pasiwe na kanisa Katoliki duniani katika mifumo yake imara katokati ya matajiri wa dunia na wanasiasa wanyama wenye kumiliki mali za kijini kwa kutumia dua za kuvuta majini na mali !!

Mwenyezi Mungu anachukizwa sana na tabia ya binadamu kuzaa na viumbe vingine. Mungu hakuweka utaratibu wa Majini au malaika kuzaa na binadam kwa sababu viumbe hao wanaujuzi mkubwa sana na ni waovu na walaghai .

Mpaka Yesu anakuja ulimwnguni basi asilimia kubwa ya Wanadam walikua ni uzao wa kijini . Mungu akatenga uzao wa Ibrahimu ili wapatikane manabii wa kuwaandaa watu namna ya kumpokea Masihi Yesu Kristo ambaye angeweza kuushinda uzao wa Kijini.

Tafuta historia ya Shetani kwa hao waislam utajua kuwa Shetani ni Muislam na ndiye kiumbe kilichiswali kwa kusiujudu mara nyingi kuliko viumbe vyote na pia ndiye aliyekua kama baba wa sigda kwenye paji la uso kutoka na kuswali sana .

Lakni pamoja na kuswali sana lakni Mwanyezi Mungu aliona kiburi ndani yake kwa sanabu alikataa kazi ya Yesu ya kumuumba binadam kwa udongo na kukataa kumsujidia.

Yaani fikiri Mungu anaumba lisanamu la Binadam halina uhai tena la udongo halafu anasema viumbe vyote vilisujudie . Viumbe vyote vinatii lakni shetani anakataa kwa sababu aliona hiyo amri haifai na ni kukufuru na kujishusha .

Vita ile ile ya kukataa kusujudu mbele ya binadam akiwa tope ndiyo vita inayoendelea mpaka leo .

Uislam una kitabu kimoja kinachoitwa Korani lakni kimejaa ahadi na sheria kali sana zinazowaambia watu wamuabudu mungu mmoja tuu.
Lakni wamwamini Huyo Mungu wanayemuita Allah sambamba na Binadam anayeitwa Mohamamad.
Yaani Allah hana nguvu yoyote bila Mohamadi .
Yaani huwezi kwenda kwa Huyo Allah bila kuwa chini ya umma wa Mohamadi.

sasa Mungu anashindwa vipi kumpeleka mtu peponi mpaka mtu amwamini Mohamad ambaye pia anasubiri rehema za Allah?

Wakrsto Wanamwamini Mungu baba Muumba ya vitu vyote ,Yesu Kristo aliyeitwa Mwana wa Mungu sio kwa kuzaliwa kama wanavyozaa binadam bali katika Mamlaka aliitwa hivyo ili awe na uwezo mkubwa zaidi kuliko viumbe wengine wote. Yaani awe na mamlaka makubwa katika ufalme wa Mungu . Maana Mungu anakuwa mkuu katika Umiliki na utawala wa vyote na Roho mtakatifu akitajwa kama Zile nguvu zinazofanya kazi zote za Mungu kwa kila kiumbe ili Mungu abaki kama Mfalme na Mtawala juu ya Enzi yote.

Yaani Mungu anakaa katika enzi hana muda wa kukimbuzana na viumbe wake tena bali anapokea Taarifa muhimu sana za mabadiliko makubwa sio eti mtu ameacha mlango wa nyumba yake wazi ngedere wakaingia na kuchukua ndizi halafu watu waseme ni moango wa Mungu . No Mungu yuko juu sana yaani sana sana sana .Hakaribiwi na viumbe kiholela zaidi ya Yesu pekee. Na kwa dharura sana Malaika wakuu kama Gabriel .Mikael, Rafael .
Na wengine kama Zaphiel ,Zadkiel, Camael na Haniel .

Katika mtiririko huo hakuna dini inayompeleka mtu mbinguni zaidi ya kujifunza maelekezo yaliyotokewa na Yesu Kristo na manabii wengine waliozaliwa katika Uzao mtakatifu wa Mwanamke usioongiliana na watotio wa majini miongoni mwa wanadam zaidi ya nguvu za Mungu(Yaani Roho Mtakatifu ) Ili kuondoa kabisa vunasaba vya kijini na malaika waovu .
Mshike sana Yesu utaonyeshwa mambo makubwa sana katika ulimwengu wa Roho .
Achana na dini zenye vimelea vya kishetani na majini katikati yao .
Nashukulu kwa mchango wako japo sijapenda namna unashambulia dini ya wenzio

Nafikiri imani ya kwanza ni kwanza wewe kuelewa sisi sote ni sawa haijalishi unaabudu mungu gani ila sote ni wamoja kwaiyo sio sahihi kushambulia imani ya mwenzio kama hauna taarifa za kutosha kuhusu dini hiyo maana nimeona kuna maneno umeongea yanaonyesha kabisa hauna uhakika na maneno yyako.
 
Bwana Yesu ambaye ndiye pia Mungu alituumba akisema Yeye ndiye njia kweli na uzima,hakuna atakayekuona Mungu,yaani Yahweh,bila kupitia kwake.Sasa is that not straight enough,kuwa salvation is through Jesus Christ only.

Sikilizeni ninyi watu,zunguukeni tu kama pia,Lakini there is a designated day which only God knows,when you will kneel before Jesus and accept that He is indeed the Lord.You better do it now friend before the window of grace is closed.
Nimuhimu sana kuzitoa akili zetu kwenye box.

Kuna mengu tutajifunzq
 
Amekupa freewill ili uweze kuamua nani unampendaYahweh or Satan.
Kwa hiyo huyo Yahweh alimweka Satan ili waweze kupata wafuasi wa kuwapenda?

Hivi huyo Yahweh ana jielewa kweli?
Na amekupa tools za kuweza kufanya hivyo.Sasa imagine asinge kupa freewill,angeweza kujua unampenda.Now He knows you do not love Him because you did not choose Him,you have chosen Satan!
Huyo Yahweh aliweka freewill ili tu na shetani apate wafuasi?

Huyo Yahweh ana uwendawazimu kabisa.
 
Sasa huwezi kuingilia uhuru wa watu wote kulea watoto wao.

Kila mtu alee mtoto wake vile anaona inafaa.
Ndio maana nasema hakuna aliyekuwa huru bila kujali umelelewa kidini au sio kidini, wote tumerithishwa imani na mitazamo mbalimbali kutoka kwa wazazi na jamii husika ndio kiasi kikubwa tupo hivi tulivyo.
 
Nimuhimu sana kuzitoa akili zetu kwenye box.

Kuna mengu tutajifunzq
The box you are talking about is an illusion.Kama uliumbwa,aliyekuumba alikuweka kwenye box.Kama hukuumbwa ulijiumba,than you are a god of your own,kwa hiyo hupo kwenye box,Lakini wewe uliumbwa,Kwa hiyo aliyekuumba alikuweka kwenye box,so you can't escape.
 
Kwa hiyo huyo Yahweh alimweka Satan ili waweze kupata wafuasi wa kuwapenda?

Hivi huyo Yahweh ana jielewa kweli?

Huyo Yahweh aliweka freewill ili tu na shetani apate wafuasi?

Huyo Yahweh ana uwendawazimu kabisa.
Watch your words very carefully,because you will account for every stupid word you utter at the end of time.Satan,your lord knows this very well,he is just laughing at you.
 
kwamba ukiwa upo wrong team haijalishi unapigaje kazi?

we inakuingia akilini mkuu?
Narudia ipo Imani sahihi moja tu,ingawa Imani thabiti zipo nyingi.Mkuu hata kwenye maisha ya kawaida,in any circumstance yapo mawazo mengi,Lakini wazo sahihi ni moja tu.
 
The box you are talking about is an illusion.Kama uliumbwa,aliyekuumba alikuweka kwenye box.Kama hukuumbwa ulijiumba,than you are a god of your own,kwa hiyo hupo kwenye box,Lakini wewe uliumbwa,Kwa hiyo aliyekuumba alikuweka kwenye box,so you can't escape.
Namaanisha tuko kwenye box la utumwa maana utakubaliana na mm kuna wakati wazazi wetu walifundishwa na kukalilishwa mambo amabayo kimsingi hayakua na umuhimu sana na kwa bahati mbaya nasisi tumepitishwa kwenye hali hiyo ya kukalili na sio kuelewa tumeambiwa kuuliza maswali hasa kuhusu maswala ya kidini ni Dhambi je hauoni kama ilo ni box
 
The box you are talking about is an illusion.Kama uliumbwa,aliyekuumba alikuweka kwenye box.Kama hukuumbwa ulijiumba,than you are a god of your own,kwa hiyo hupo kwenye box,Lakini wewe uliumbwa,Kwa hiyo aliyekuumba alikuweka kwenye box,so you can't escape.
Namaanisha tuko kwenye box la utumwa maana utakubaliana na mm kuna wakati wazazi wetu walifundishwa na kukalilishwa mambo amabayo kimsingi hayakua na umuhimu sana na kwa bahati mbaya nasisi tumepitishwa kwenye hali hiyo ya kukalili na sio kuelewa tumeambiwa kuuliza maswali hasa kuhusu maswala ya kidini ni Dhambi je hauoni kama ilo ni bo
The box you are talking about is an illusion.Kama uliumbwa,aliyekuumba alikuweka kwenye box.Kama hukuumbwa ulijiumba,than you are a god of your own,kwa hiyo hupo kwenye box,Lakini wewe uliumbwa,Kwa hiyo aliyekuumba alikuweka kwenye box,so you can't escape.
Hivi unaweza kunambia mtizamo wetu tulionao kuhus dini ni sawa na mtizamo waliokuwa nao mababu zetu kuhusu mungu na dini?
 
Kwa hiyo huyo Yahweh alimweka Satan ili waweze kupata wafuasi wa kuwapenda?

Hivi huyo Yahweh ana jielewa kweli?

Huyo Yahweh aliweka freewill ili tu na shetani apate wafuasi?

Huyo Yahweh ana uwendawazimu kabisa.
Haya ndio maswali tunaitaji kuuliza haswa
 
Br unawaza?????nenda kwenye dini kama sehemu ya kupumzika tu nakujifunza kama shuleni nenda sasa utajiri mara nn cjui mapepo umelogwa wagwan wewe ni fulsa 👎 mandown
 
Narudia ipo Imani sahihi moja tu,ingawa Imani thabiti zipo nyingi.Mkuu hata kwenye maisha ya kawaida,in any circumstance yapo mawazo mengi,Lakini wazo sahihi ni moja tu.
jibu hili huoni kama linakinza na Upendo na Haki ?
 
Narudia ipo Imani sahihi moja tu,ingawa Imani thabiti zipo nyingi.Mkuu hata kwenye maisha ya kawaida,in any circumstance yapo mawazo mengi,Lakini wazo sahihi ni moja tu.
Tatizo mkuu kujua hiyo imani sahihi sio kitu chepesi kama unavyochukulia, wewe hapa unaonyesha uthabiti wa imani uliyonayo tu.
 
Tatizo mkuu kujua hiyo imani sahihi sio kitu chepesi kama unavyochukulia, wewe hapa unaonyesha uthabiti wa imani uliyonayo tu.
Mkuu sio vigumu kujua Imani sahihi?Even your inner being knows it,in short Mungu amejidhihirisha wala huna udhuru.Wewe mwenyewe ni udhihirisho tosha kuwa there is a creator,a God.The universe so eloquently organized,with planetary forces so well balanced that planets do not collide shows that there is an organizer.The Ecosystem also proves the same.Only the stupid can say there is no God.Sasa huu ndio msingi.Kujua unamuabuduje hiyo Mungu is another story.

Zipo options nyingi ambazo binadamu amejiundia kwa kuwa hamjui Mungu kwa hiyo amepotea.But God has revealed Himself through Jesus Christ only,and through Him in faith humanity will be saved.So accept Jesus as your personal saviour you will be saved or reject Him and you are lost and sent to eternal hell.So the choice is yours.
 
Mkuu mimi sikatai hoja ya kuwa kuna creator ila idea ya kusema huyo creator ameanda athabu kwa kile alicho kiumba hapa huwa sielewi kabisa
 
Mkuu sio vigumu kujua Imani sahihi?Even your inner being knows it,in short Mungu amejidhihirisha wala huna udhuru.Wewe mwenyewe ni udhihirisho tosha kuwa there is a creator,a God.The universe so eloquently organized,with planetary forces so well balanced that planets do not collide shows that there is an organizer.The Ecosystem also proves the same.Only the stupid can say there is no God.Sasa huu ndio msingi.Kujua unamuabuduje hiyo Mungu is another story.

Zipo options nyingi ambazo binadamu amejiundia kwa kuwa hamjui Mungu kwa hiyo amepotea.But God has revealed Himself through Jesus Christ only,and through Him in faith humanity will be saved.So accept Jesus as your personal saviour you will be saved or reject Him and you are lost and sent to eternal hell.So the choice is yours.
Mkuu mimi sikatai hoja ya kuwa kuna creator ila idea ya kusema huyo creator ameanda athabu kwa kile alicho kiumba hapa
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.

INATEGEMEANA. MI NAONA UWE MUISLAMU MI KWA TABIA ZANGU. ROLE MODEL WANGU NI MUDDY. MIMI NAPENDA SANA MADEMU NA NINA HASIRA MTU AKINIUDHI. UKRISTO MAMBO YA KUSAMEHEANA NA UPENDO SIWEZI. UKIWA MUISLAMU UNAKUWA FREE MAADUI ZAKO KUWAKATA VICHWA NA UNAENDA AKHERA HUKO UNAPATA MADEMU 72 BIKRA. NA PIA HATA HAPA DUNIANI UNAWEZA WACHANGE UTAKAVYO. UNAOA LEO AFTER A WEEK UNAMPIGA CHINI UNAOA WENGINE NA NI RUKSA.
 
Mkuu sio vigumu kujua Imani sahihi?Even your inner being knows it,in short Mungu amejidhihirisha wala huna udhuru.Wewe mwenyewe ni udhihirisho tosha kuwa there is a creator,a God.The universe so eloquently organized,with planetary forces so well balanced that planets do not collide shows that there is an organizer.The Ecosystem also proves the same.Only the stupid can say there is no God.Sasa huu ndio msingi.Kujua unamuabuduje hiyo Mungu is another story.

Zipo options nyingi ambazo binadamu amejiundia kwa kuwa hamjui Mungu kwa hiyo amepotea.But God has revealed Himself through Jesus Christ only,and through Him in faith humanity will be saved.So accept Jesus as your personal saviour you will be saved or reject Him and you are lost and sent to eternal hell.So the choice is yours.
Wewe unaona anayefuata imani nyengine tofauti na kumfuata Yesu kapotea ila wengine nao huko wanaona wewe ndio umepotea, shida inaanzia hapo.
 
Back
Top Bottom