Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

Ni sehemu ya maoni yako tunaheshimu mkuu, ila mkuu hata mtu wa imani nyengine pia anaweza kumshauri afuate imani nyengi kwa hoja kama yako tu kuwa ndio njia sahihi vinginevyo ni upotoshaji.

Haya mambo si rahisi kama tunavyoona, kwenye watu wa imani moja tu unakuta wanatofautiana na kila mmoja huona sisi ndio sahihi.
Kuwepo kwa Imani tofauti ni Satan's project of divide and rule.Tungekuwa na Mungu mmoja,Bwana mmoja,Roho mmoja,tumaini moja na nia moja kusingekuwa na tofati kati yetu.Shetani amefanikiwa sana kutugawanya.
 
Kuwepo kwa Imani tofauti ni Satan's project of divide and rule.Tungekuwa na Mungu mmoja Yahweh,Baba mmoja,Roho mmoja,tumaini Moja na nia Moja kusingekuwa na tofati kati yetu.Shetani amefanikiwa sana kutugawanya.
Mungu mnayedai kwamba ni muweza wa vyote, Alishindwaje kumzuia huyo shetani asigawanye watu?

Au ni kwa nini huyo Mungu aliruhusu uwepo wa shetani duniani?

Huyo Mungu alishindwaje kumzuia huyo shetani asiwepo kabisa?
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.

Kama bado tu hujawaelewa wanazuoni mahiri wa kiislam walioeleza kwa wazi kuwa Waislam wanaruhusiwa kufuga au kuoa majini na kuzaa nayo .

Sasa unadhani dunia inasalimika vipi kama tunaishi na watu waliofuga majini katikati yetu.
Dunia inakuaje salama wakati katikati yetu kuna wakwe wa majini ,wajomba wa majini na shemeji wa majini ?

Jiulize kwa umakini kabla hujapotea kabisa na ukatupwa nje kabisa katika ufalme wa Mungu na kuingia katika ufalme wa shetani.

Kama wewe ni Binadam na sio mtoto wa kijini au mchanganyiko wa jini na binadam basi jiulize tu hivi ukrsto usingekuwepo dunia ingekuaje ?

Yaani leo hii pasiwe na kanisa Katoliki duniani katika mifumo yake imara katokati ya matajiri wa dunia na wanasiasa wanyama wenye kumiliki mali za kijini kwa kutumia dua za kuvuta majini na mali !!

Mwenyezi Mungu anachukizwa sana na tabia ya binadamu kuzaa na viumbe vingine. Mungu hakuweka utaratibu wa Majini au malaika kuzaa na binadam kwa sababu viumbe hao wanaujuzi mkubwa sana na ni waovu na walaghai .

Mpaka Yesu anakuja ulimwnguni basi asilimia kubwa ya Wanadam walikua ni uzao wa kijini . Mungu akatenga uzao wa Ibrahimu ili wapatikane manabii wa kuwaandaa watu namna ya kumpokea Masihi Yesu Kristo ambaye angeweza kuushinda uzao wa Kijini.

Tafuta historia ya Shetani kwa hao waislam utajua kuwa Shetani ni Muislam na ndiye kiumbe kilichiswali kwa kusiujudu mara nyingi kuliko viumbe vyote na pia ndiye aliyekua kama baba wa sigda kwenye paji la uso kutoka na kuswali sana .

Lakni pamoja na kuswali sana lakni Mwanyezi Mungu aliona kiburi ndani yake kwa sanabu alikataa kazi ya Yesu ya kumuumba binadam kwa udongo na kukataa kumsujidia.

Yaani fikiri Mungu anaumba lisanamu la Binadam halina uhai tena la udongo halafu anasema viumbe vyote vilisujudie . Viumbe vyote vinatii lakni shetani anakataa kwa sababu aliona hiyo amri haifai na ni kukufuru na kujishusha .

Vita ile ile ya kukataa kusujudu mbele ya binadam akiwa tope ndiyo vita inayoendelea mpaka leo .

Uislam una kitabu kimoja kinachoitwa Korani lakni kimejaa ahadi na sheria kali sana zinazowaambia watu wamuabudu mungu mmoja tuu.
Lakni wamwamini Huyo Mungu wanayemuita Allah sambamba na Binadam anayeitwa Mohamamad.
Yaani Allah hana nguvu yoyote bila Mohamadi .
Yaani huwezi kwenda kwa Huyo Allah bila kuwa chini ya umma wa Mohamadi.

sasa Mungu anashindwa vipi kumpeleka mtu peponi mpaka mtu amwamini Mohamad ambaye pia anasubiri rehema za Allah?

Wakrsto Wanamwamini Mungu baba Muumba ya vitu vyote ,Yesu Kristo aliyeitwa Mwana wa Mungu sio kwa kuzaliwa kama wanavyozaa binadam bali katika Mamlaka aliitwa hivyo ili awe na uwezo mkubwa zaidi kuliko viumbe wengine wote. Yaani awe na mamlaka makubwa katika ufalme wa Mungu . Maana Mungu anakuwa mkuu katika Umiliki na utawala wa vyote na Roho mtakatifu akitajwa kama Zile nguvu zinazofanya kazi zote za Mungu kwa kila kiumbe ili Mungu abaki kama Mfalme na Mtawala juu ya Enzi yote.

Yaani Mungu anakaa katika enzi hana muda wa kukimbuzana na viumbe wake tena bali anapokea Taarifa muhimu sana za mabadiliko makubwa sio eti mtu ameacha mlango wa nyumba yake wazi ngedere wakaingia na kuchukua ndizi halafu watu waseme ni moango wa Mungu . No Mungu yuko juu sana yaani sana sana sana .Hakaribiwi na viumbe kiholela zaidi ya Yesu pekee. Na kwa dharura sana Malaika wakuu kama Gabriel .Mikael, Rafael .
Na wengine kama Zaphiel ,Zadkiel, Camael na Haniel .

Katika mtiririko huo hakuna dini inayompeleka mtu mbinguni zaidi ya kujifunza maelekezo yaliyotokewa na Yesu Kristo na manabii wengine waliozaliwa katika Uzao mtakatifu wa Mwanamke usioongiliana na watotio wa majini miongoni mwa wanadam zaidi ya nguvu za Mungu(Yaani Roho Mtakatifu ) Ili kuondoa kabisa vunasaba vya kijini na malaika waovu .
Mshike sana Yesu utaonyeshwa mambo makubwa sana katika ulimwengu wa Roho .
Achana na dini zenye vimelea vya kishetani na majini katikati yao .
 
Mungu mnayedai kwamba ni muweza wa vyote, Alishindwaje kumzuia huyo shetani asigawanye watu?

Au ni kwa nini huyo Mungu aliruhusu uwepo wa shetani duniani?

Huyo Mungu alishindwaje kumzuia huyo shetani asiwepo kabisa?
hilo swali jibu halina mkuu
 
Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu.

Kama binadamu wengine namuamini mungu.

Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni mtu ambaye napenda kujifunza sana.

Na kijifunza kwanga kumefanya nibadili jinsi ninavyo itizama dini yangu iliyonelea (ukristo)

Nimekulia katika familia inayo abudua kupitia roman Catholic ila miaka mitano nyuma baada ya kujifunza na kuelewa vitu fulani mimi kama binadamu ninahaki ya kuchagua wapi nikaabudu ivyo nikaamua kubadili na kuwa katika makanisa ya kilokole.

Now nimwaka wa pili sasa huwa najiuliza kama uamuzi niliofanya ni sahihi make najikuta naitaji kubadili tena na safari hii naonelea zaidi kuwa mwisilam (dini ninayoipenda zaidi).

Kinacho nisukuma kufanya hivi sio nafata mkumbo hapana ila kunavitu vingi uwa vinanipa mwaswali na hayo maswali yakikosa majibu basi huwa naitaji kubadilisha msimamo wangu.

Nitaepuka kuweka maswali hayo hapa ili nisianzishe mjadala wa kinidi.

Kiukweli kabisa niko njia panda na ukizingatia naelewa pia sio rahisi kumwamini mungu kwa kuto shiriki katika dini yoyote maana utakosa malezi ya kidini japo wengine ufikili kuingia kwenye dini ni kama kujiingiza kwenye jela yako mwenyewe.

Ntashukulu kwa maoni yako mwana jf.
Karibu kwenye uislamu.
 
Kwahiyo mwanao akiona msimamo wa kutokuwepo Mungu ndio jambo sahihi basi ni kutokana tu na kwamba amelelewa hivyo.
Sio kuona tu, bali kufuata ukweli wenye logical consistency.

Ukimlea mtoto kufuata njia fulani atafuata njia hiyohiyo uliyomlea.
 
Sio kuona tu, bali kufuata ukweli wenye logical consistency.

Ukimlea mtoto kufuata njia fulani atafuata njia hiyohiyo uliyomlea.
Nini kifanyike ili mtoto awe huru kabisa asilelewe katika kuaminishwa misimamo ya wazazi wake au jamii husika?
 
Do the right things, tenda wema kwa watu, wanyama na kila chenye uhai na jiepushe na ubaya wowote hasa kwa kiumbe chenye uhai that's enough mkuu, Love itself is a religion, it is our religion. 💚
Naunga mkono hoja
 
Ni sehemu ya maoni yako tunaheshimu mkuu, ila mkuu hata mtu wa imani nyengine pia anaweza kumshauri afuate imani nyengi kwa hoja kama yako tu kuwa ndio njia sahihi vinginevyo ni upotoshaji.

Haya mambo si rahisi kama tunavyoona, kwenye watu wa imani moja tu unakuta wanatofautiana na kila mmoja huona sisi ndio sahihi.
Bwana Yesu ambaye ndiye pia Mungu alisema Yeye ndiye njia kweli na uzima,hakuna atakaye-muona Mungu,yaani Yahweh,bila kupitia kwake.Sasa is that not straight enough,kuwa salvation is through Jesus Christ only.

Sikilizeni ninyi watu,zunguukeni tu kama pia,lakini there is a designated day which only God knows,when you will kneel before Jesus and accept that He is indeed the Lord.You better do it now friend before the window of grace is closed.
 
Bwana Yesu ambaye ndiye pia Mungu alituumba akisema Yeye ndiye njia kweli na uzima,hakuna atakayekuona Mungu,yaani Yahweh,bila kupitia kwake.Sasa is that not straight enough,kuwa salvation is through Jesus Christ only.

Sikilizeni ninyi watu,zunguukeni tu kama pia,Lakini there is a designated day which only God knows,when you will kneel before Jesus and accept that He is indeed the Lord.You better do it now friend before the window of grace is closed.
Mkuu humu kila mtu anaweza kutoa mahubiri au mawaidha kuhusiana na anachoamini, na kila mtu ana imani thabiti kwa anachokiamini kama wewe.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mkuu humu kila mtu anaweza kutoa mahubiri au mawaidha kuhusiana na anachoamini, na kila mtu ana imani thabiti kwa anachokiamini kama wewe.
Imani thabiti sio issue ndugu yangu,unaweza kuwa na imani thabiti kwa Ngombe,lakini hiyo sio imani sahihi.Imani sahihi ndiyo issue.
 
Imani thabiti sio issue ndugu yangu,unaweza kuwa na imani thabiti kwa Ngombe,lakini hiyo sio imani sahihi.Imani sahihi ndiyo issue.
kwamba ukiwa upo wrong team haijalishi unapigaje kazi?

we inakuingia akilini mkuu?
 
Mungu mnayedai kwamba ni muweza wa vyote, Alishindwaje kumzuia huyo shetani asigawanye watu?

Au ni kwa nini huyo Mungu aliruhusu uwepo wa shetani duniani?

Huyo Mungu alishindwaje kumzuia huyo shetani asiwepo kabisa?
Amekupa freewill ili uweze kuamua nani unampendaYahweh or Satan. Na amekupa tools za kuweza kufanya hivyo.Sasa imagine asinge kupa freewill,angeweza kujua unampenda.Now He knows you do not love Him because you did not choose Him,you have chosen Satan!
 
Back
Top Bottom