Niko Njia Panda.... Ushauri wenu ni muhimu

Niko Njia Panda.... Ushauri wenu ni muhimu

@Da Asia
kwanza nikupe hongera kwa hatua uliyofikia katika malezi ya wano ukiwa peke yako.

Ishu yako ya mahusiano.. sidhani kama huyo mwanaume anakupenda kama unavyoeleza. Na m_dought sana; bado anaficha mambo mengi sana kwako kitu kinachotia mashaka. Nahisi ana malengo fulani (''''''), just be very carefull, kama unajisikia unampenda sana, weka mipaka na jipe muda wa kutosha kumsoma na kumwelewa. Hili ni pamoja na kuweka misingi/makubaliano thabiti ya jinsi gani mahusiano yenu yatakavyokuwa, nani atahamia kwa mwenzie, watoto itakuwaje n.k


"Kutwa anajitetea kua mimi namnyanyasa kwa vile hana kipato kizuri kama mimi. Ni mtu wa kulalamika kutwa hana pesa!" hii kitu hii ni hatari sana.

Mwanaume akijisikia dhaifu ni dhaifu kweli kweli ..magomvi na matatizo yasioisha huibuka kutokana na inferiority.


He can ruin ya life totally na ukajuta. Mie ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Uko sahihi,

Dume hata kama halina kitu haliwezi kukaa likalia lia....atajipiga kifua na kuonesha kuwa ni mwanamume wa kweli...

Huyo wa kunyanyua pua siyo mume kabisa....

Babu DC!!
 
Da Asia pole naona uko tena njia panda kwa mara ya pili.

Huyu anayelazimishia kuhamia kwako ni John au Peter?

Nakumbuka John alikuwa yuko sawa lakini hamkuwa "compatible".

Pia nakukumbuka Peter alikuwa mtu wa mission town lakini mlikuwa "compatible".

Sasa hebu "clarify" hapa ili tujue kama "what went round came back".
refeeeeeeeeeeeeeeeeerence partner refereeence!
santee to save my wino!
 
mim ushauri wangu rudia kusoma ushauri 4rm da start..no 1 support ur relatn wit im,PIGA CHINI YAHAYA HUYO
 
he is just one of the professional irresponsible, useless, foolish, selfish money-monger men. pole sana and take heart.
 
Smile, I am a woman of my words. Kumbuka nilichokuambia last week, sikurudi nyuma. Inspite of so many phone calls and messages kutoka kwake ambazo sikujibu hata moja nili stick kwenye msimamo wangu.

halafu Huyu Maza harudi kutupa mrejesho ukute wanakula Zao bata wkend
 
Hayo ni mawazo yako. Hao waliosema wanaleta thread kwa niaba za wengine kutwa hapa wanaambiwa ni za kwao ila wanadanganya. unashindwa kujua ufanye kipi.
Ulinishauri nini kwenye Peter na John ya miaka iliyopita mpaka ikukere kuwa sasa nimekuja na story nyingine? Kama huna cha kuchangia, pita kama walivyofanya wastaabu wengine.

It would have been much better kama ungesema from the very beginning kuwa the story is hypothetical au ni ya mtu mwingine.

Kwa sababu ni useless kumpa mtu ushauri in an hypothetical case wakati kuna watu wana real cases na wanatafuta ushauri lakini hawaupati kwa kudhaniwa kuwa stories zao ni za kutengeneza.

Kama story ni kwa niaba ya mtu there was no need to personalise it. Maana siku yakikukuta na wewe sijui nani ata-personalise story yako.

Sometimes, we need to get real.
 
Mi naona ilo JIBABA lina lake jambo hao ndo wale wanaokuja kwako kwa mapenzi ya KIKWAO kwa lengo flani na baadae anaanza kukuloga ndo vile unakabidhi MALI zote kwake na mwishowe unabaki maskini,MAPENZI KITU KINGINE MDADA kuwa makini chunguza sana kama ulivosema wanao ni wakubwa,na ninauhakika wanajua teyari what is goin on,so cha kukushauri kaa mbali nae asije akakuharibia wapo waliotulia zaidi yao heri umtafute wa levo yako au aliyekuzid kiuchumi,kielimu,hata kifikra atakusaidia zaid hata kama atakua mgane,ili uwe safe:sad:
 
Hayo ni mawazo yako. Hao waliosema wanaleta thread kwa niaba za wengine kutwa hapa wanaambiwa ni za kwao ila wanadanganya. unashindwa kujua ufanye kipi.

Kwa hiyo the fact kuwa hao wanadanganya inakupa uhalali wa wewe pia kundanganya? Two wrongs don't make a right.

Hata hivyo, you aren't exceptional maana Watanzania wengi tunapenda kuhalalisha makosa yetu kwa kutumia makosa ya watu wengine - two wrongs make a right.

Ulinishauri nini kwenye Peter na John ya miaka iliyopita mpaka ikukere kuwa sasa nimekuja na story nyingine

Wala hiyo thread ya Peter na John haikuwa "miaka iliyopita"; it was just last year.

Wala sikereki kwa wewe kuja na story nyingine. I can't control how you make your stories.

But since JF is a public forum, then sidhani kama kuna ubaya kumwuliza mwanzisha hoja swali lolote kuhusiana na alichoandika.

Kama huna cha kuchangia, pita kama walivyofanya wastaabu wengine.

Ina maana waliochangia kwenye hii thread siyo wastaarabu na kuwa wangekuwa tuu wastaarabu kama wangepita bila kuchangia?

Kuchangia haina maana kuwa lazima ukubaliane na nilichoandika.

Hivyo basi, the fact kuwa hukubaliani au hupendi nilichoandika haina maana kuwa sijachangia kwenye hii thread.

Sorry kama nimekuudhi, but I was just asking kama ambavyo ningemwuliza mtu yoyote yule hata nje ya JF.
 
huyo mtu hakufai,he has no good intention,shika msimamo wako,he is just a gold digger and he has no manners....
 
kwanza napenda kukupongeza kwa kufunguka macho mapema!..ila nimecheka sana jamani ..duniani hakuna mtu anapenda shida etiii!!!
nani anapenda kuishi kwa shida! hapo kwako full kiyoyozi soseji na maaple na k juu kwanini asiombe kuhamia?...
da asia achana nae huyo kwanza ana mke ndo maana hataki kukupeleka kwake piga chini.tena shtaki polisi
raha ya mwanaume ni akujali ..kama mwanaume akujali ..hajui unakula au unalala wapi hana mchango wowote kwako ni wa nini huyo?

Upo dada yangu Smile?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom