Ras Cutty
Member
- Nov 12, 2010
- 42
- 10
Habari dada? Pole kwa yanayokusibu dia, kiukweli huyo mwanaume hakufai ni vyema ukafanya maamuzi sasa ya kuachana naye kuliko baadaye mambo yatakapokuwa magumu zaidi! Mueleze ukweli vile umavyojisikia juu yake hasa hilo suala la kutokuwa mkweli na miwazi kwako na hilo la kupenda kulelewa! Mwanaume yeyote anayejitambua, huwa proud kumuhudumia mpenzi wake hata kama anajua anamzidi kipato! Huyo ana mapenzi ya kweli kwako in short ni mario! Omba mungu akupatie mwezi wa kufanana naye, atakayekupenda kwa dhati na kukupa furaha unayoitamani hasa ukizingatia kuwa umejinyima raha kwa muda mrefu! U hv sacrifice alot dada u deserve something better than that! Kila la kheri