Niko Njia Panda.... Ushauri wenu ni muhimu

Niko Njia Panda.... Ushauri wenu ni muhimu

life is short, "right selection" huwa hawaandikwi usoni. na mimi sio wa kwanza kupata wrong selection. hata wewe unaweza kujiona you are right but wrong selection kwa mtu mwingine. mimi sio wa kwanza kukutana na wrong selection. wako waliokutana na wrong wa ma wrong mpaka watolewa uhai sababu hiyo, laiti mtu ungeweza kumsoma mwenzie anawaza nini kichwani basi kila mtu angekwenda kwa right selection.
hata wewe kama mwanaume pia nina amini ushakutana na ma fox wakike. vile wengine hapa mnajivika ngozi ya kua watakatifu wakati hamko hivyo. wako wanaume wangapi wanatendwa na wanawake wanalia kutwa kucha na bado wanang'ang'ania. Life is never perfect under the sun.... leo ni mimi kesho utakua wewe and we learn through mistakes. Weakness kubwa niliyonayo ni kusimamia watoto wangu wakasoma vizuri kukuzidi hata wewe unayebwabwaja hapa. Umefanya nini hapa duniani kama kweli wewe mwananume. Utumbo wako huu peleka FB kama hukua na kuniambia.

Mpendwa..Sorry kukuambia ulidandia dala dala kwa mbele "wrong selection" with respect kazi utakayoifanya sasa ni kubreak the relation...(all the means) hata kama ana familiya tumia tishio hilo kwake !!Halafu usiwe na haraka au kiherehere kwa Wanaume sisi ni maFox!! hilo liwe somo kwako... Ushajijua na utibu weakness zako, Good luck na makazi mema.
 
Pole jamani kama na wewe ni mhanga. Maisha ndivyo yalivyo... Ups and downs. Kila siku haiwezi kua Jumapili...

Hii story inataka kuniliza...kwa nini nimeifungua daaaaaaa!!!!inauma sana!!!!!!!! Kwa niniiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!?????? Sipendi kufikiria kuhusu haya mambo aiseeeeeee!!!!!
 
eheee mbona kinganganizi hivo? akutambulishe wa nini? wewe mwambie hutaki tena ..yaani da asia ukirudiana nae tena utaniudhi mimi? kachukua tu kibaka mtaani huko kampigisha sound hyo shtuka mjini hapa. mwambie watoto wako na ndugu wamekataa akupe muda kwanza uwapange ila ndo imetoka hivo ...huyo hafai hata kwa maji ya kunywa
Wana MMU hata cha kuwalipa sina ila mwenyezi mungu ndio atakayewalipa kwa nasaha zenu zilizokwenda shule. Hakuna hata mmoja ambaye amenishauri jambo likanikwaza, kwa kweli wote mmeongea kuonyesha wote ni wanafamilia ya MMU.
Nashukuru sana kwa hilo na muendelee hivyo.
Sasa basi kwa ufahamisho tu wapenzi, baada ya kumkalia kooni huyo shemeji yenu bandia kua uhusiano kwishnei na yeye hili neno hataki kulisikia, leo nina kikao nae joini, amekiomba yeye, eti atafunguka kunieleza background yake ambayo aliogopa kunieleza siku za nyuma kwa kudhani hatonipata.
Week end pia ameahidi kunitambulisha kwa wazazi wake ambao wote wako Dar.
Mtoto wake mmoja wa kiume ndio kasema ni simple atanitambulisha kwake kwanza kabla ya wale wakubwa wakike ambao anasema kitabia hawajakaa sawa, hivyo inabidi awaweke sawa kwanza kabla hajanikutanisha nao.
Lakini wapenzi naomba tu niwaambie, baada ya kusoma nasaha zenu wote zilizojaa busara, kuolewa na huyu mtu haipo tena, kwani nimeishi miaka yote hii bila mume, nimeharibikiwa na nini. Kama nitaridhika na maelezo yake tutaishi kama bf na gf that's all. Sitaki kesho nife halafu watoto wangu wapate tabu kwa sababu ya mtu ambaye mimi mwenyewe nimemleta kwenye familia ambaye kumekutana wakati umri umeshaenda awape tabu watoto wangu.
Kuna wengine wamesema labda hana kazi. Naomba niwahakikishie kua yuko kazini, na ofisi yake nimeshaenda mpaka boss wake na wafanyakazi wenzie baadhi nawafahamu kwani aliwahi kunialida kwenye function ya ofisini kwao. Hilo halina mjadala ila tatizo tu ni hizo jazba zake na kulazimisha ndoa ya kuishi kwangu, hapo ndio kuna utata.
Sijawahi kumpa msaada mkubwa sana wa kutisha zaidi ya mambo madogo madogo sana kwani nilishamuonyesha toka mwanzo kua mimi ni mwanamke na yeye ni mwanamme no matter what, hivyo a play roll zake kama baba anavyotakiwa.
hiyo kidogo ilimrudisha nyuma, hivyo kama alikua anategemea kupata chochote kwangu, alijua hakipo kwa sasa.
Naomba niwashukuru sana sana kwa ushauri wenu na sitasita kurudi tena kuwapa updates za kikao maana hili litakua fundisho si kwangu tu bali ni kwa wengine pia.
Asanteni na muwe na asubuhi njema....
 
Pole jamani kama na wewe ni mhanga. Maisha ndivyo yalivyo... Ups and downs. Kila siku haiwezi kua Jumapili...

You are a bit older than mom!!!aaaaaa I can't!!!! Anyway Mungu yu pamoja nawe, nikisoma comments zako, ur a good mom just like mine!!!! Utalishinda hili pia...I pray for you!
 
Yahaya unaishi wapi? Jina lako halisi ni nani Yahaya eeeeh! Yahaya yahayaa. Naimba tu jamani. Ushauri wangu alifika muwekee huo wimbo
 
Kinyau nimekupata sana mdogo wangu. Usiwe na wasiwasi, hana ubavu wa kunipeleka kwenye 4 walls, labda huko nimepeleke mimi.
Jinsi ninavyosoma nasaha zenu hapa nina mawili, kum delete kabisa mpaka kwenye recyle bin au kum delete ana maybe ku restore later, depending na nitakavyojisikia. lakini kila nikipima yakum delete hadi kwenye recyle bin ndio ina nguvu zaidi.
Leo mpaka ninapoandika hii msg sijapokekea simu yake na sijajibu msg yake hata moja. Natamani kama ningeweze kuziweka msg zake hapa muone anavyobembeleza na kujuta, lakini huwezi amini hata mshipa haunichezi, naona kama anapoteza muda wake badala ya kuwajibika ofisini kwake. usishangae nitakapokuambia kwamba sikuonana nae na kili kitu ni over.
Message yako uliyoni pm imenipa changamoto sana, usiwe na wasiwasi mdogo wangu, at least mwanga unazidi kuongezeka.
mchana mwema

Da Asia
Another thing I smell here is Incompatibility kati ya yeye na background yake na wewe. Imagine wanao umewakuza kwa maadili, have gone to some good school waje wamingle na rough kids of his? they may resent each other so much that you wont be at peace(umesema yeye kasema wanae hawana maadili) na samaki hakunjiki ukubwani.

In this meeting ya leo , please don' t show a sign of needing him but present yourself with highest mature mind, without forgeting to let you close people know where you are meeting. Please msimeet in a room --women are very weak kubembelezwa in closed doors. And this fellow has al signs of a conman isije hata hao parents are ghost ones , watch all the signs kuwa hao ni wazazi kweli au kawalipa wazee hapa mjini. Question them politely and judge .

Jinsi ulivyohangaika na maisha ulivyokuwa single ni wazi u need a patner to soothe your life, to console , to at least be able to buy some classy cologne and take you out ocassionally -- let it not be this specie please , umri huu ufokewe ? You deserve something better and I pray you get that.

Above all seek divine guidance from God
 
Mwisho akuendee kwa mganga akuloge ajimilikishe kila kitu!
Mwisho watoto wako wakose kila kitu! Nawewe akuue ay akufanye zezeta vilevile! Chezea!!
Achana nae na simu yake usipokee..mfanye kama humjui hata ukimwona..akizidi vitisho ripoti polisi!
Kuna watu wanauliza eti kama unahitaji mtu! Ha! Why not!!!!! Bibi weee kama hamu ipo ipo tu mamdogo..umri is jus a number.. Tina Turner ameolewa juzi tuu apa..inakh'usuuuu!!
Ila sasa we ndo unaokota vimeo aunt! Mwe!
Mwombe Mungu na ufanyie kazi
 
yaani i wish usiende kabisa ningekupendaje?
Kinyau nimekupata sana mdogo wangu. Usiwe na wasiwasi, hana ubavu wa kunipeleka kwenye 4 walls, labda huko nimepeleke mimi.
Jinsi ninavyosoma nasaha zenu hapa nina mawili, kum delete kabisa mpaka kwenye recyle bin au kum delete ana maybe ku restore later, depending na nitakavyojisikia. lakini kila nikipima yakum delete hadi kwenye recyle bin ndio ina nguvu zaidi.
Leo mpaka ninapoandika hii msg sijapokekea simu yake na sijajibu msg yake hata moja. Natamani kama ningeweze kuziweka msg zake hapa muone anavyobembeleza na kujuta, lakini huwezi amini hata mshipa haunichezi, naona kama anapoteza muda wake badala ya kuwajibika ofisini kwake. usishangae nitakapokuambia kwamba sikuonana nae na kili kitu ni over.
Message yako uliyoni pm imenipa changamoto sana, usiwe na wasiwasi mdogo wangu, at least mwanga unazidi kuongezeka.
mchana mwema
 
Umri huu natambulishwa ili iweje Smile, nimewapa tu muone anavyoweweseka baada ya kumpiga full stop. Kama alikua na nia ya kunitambulisha asingesubiri tufike huko tulikofika. ingekua automatic tu.
Shaka ondoa mdogo wangu, hatambulishwi mtu hapa... watoto wangu wanatambulishwa huko kwa vi bf na vi gf na mie mama yao pia natambulishwa... dah....

eheee mbona kinganganizi hivo? akutambulishe wa nini? wewe mwambie hutaki tena ..yaani da asia ukirudiana nae tena utaniudhi mimi? kachukua tu kibaka mtaani huko kampigisha sound hyo shtuka mjini hapa. mwambie watoto wako na ndugu wamekataa akupe muda kwanza uwapange ila ndo imetoka hivo ...huyo hafai hata kwa maji ya kunywa
 
Mwisho akuendee kwa mganga akuloge ajimilikishe kila kitu!
Mwisho watoto wako wakose kila kitu! Nawewe akuue ay akufanye zezeta vilevile! Chezea!!
Achana nae na simu yake usipokee..mfanye kama humjui hata ukimwona..akizidi vitisho ripoti polisi!
Kuna watu wanauliza eti kama unahitaji mtu! Ha! Why not!!!!! Bibi weee kama hamu ipo ipo tu mamdogo..umri is jus a number.. Tina Turner ameolewa juzi tuu apa..inakh'usuuuu!!
Ila sasa we ndo unaokota vimeo aunt! Mwe!
Mwombe Mungu na ufanyie kazi
yaani natamani tungekuwa na uwezo tumfungie mahali kwa muda! maana sisi wanawake bana sijui tuna nini utashangaa anatuletea kadi za mwaliko hapa sijui tutaweka wapi sura zetu
 
life is short, "right selection" huwa hawaandikwi usoni. na mimi sio wa kwanza kupata wrong selection. hata wewe unaweza kujiona you are right but wrong selection kwa mtu mwingine. mimi sio wa kwanza kukutana na wrong selection. wako waliokutana na wrong wa ma wrong mpaka watolewa uhai sababu hiyo, laiti mtu ungeweza kumsoma mwenzie anawaza nini kichwani basi kila mtu angekwenda kwa right selection.
hata wewe kama mwanaume pia nina amini ushakutana na ma fox wakike. vile wengine hapa mnajivika ngozi ya kua watakatifu wakati hamko hivyo. wako wanaume wangapi wanatendwa na wanawake wanalia kutwa kucha na bado wanang'ang'ania. Life is never perfect under the sun.... leo ni mimi kesho utakua wewe and we learn through mistakes. Weakness kubwa niliyonayo ni kusimamia watoto wangu wakasoma vizuri kukuzidi hata wewe unayebwabwaja hapa. Umefanya nini hapa duniani kama kweli wewe mwananume. Utumbo wako huu peleka FB kama hukua na kuniambia.
KumRadhii Sister Ashia Again unarepeat wrong justifications; Kweli unajiamini.. Lakini still haunaGaranttee kuwa uliyo Sacrifice juu yao wapo radhi na behaviour zako, Japo unClaim your rights (time will tell) Yaani umejinasibu na 40yrs and more ivo kweli upo makini? Yaani umeruka mko-jo ukaangukia Ma-avii!! umri ulanao ushindwe kujua RIGHT selection/choice !!! hilo ni jangaa kuu, My Dear kutokana na kulalamika kwako umetupa taswira kamili ambayo unmatured ndo wafanyavo "Samahani na hashakum" usinielewe vibaya !! Hongera Dada kuweza kujenga your life House "congratulations" I really wish you uweze kuishi nayo Laa sivyo itarithiwa na Fox au wake/me za watoto wako (again time will tell) sikuombei laa hasha!! Lakini the way usmarti wako ulivyojiweka.
Hakika mi binafsi ni very slow but sure...na tupo wengi huangalia tawi kavu kabla hatujashika na tupo wengi husaidia vijana wetu na watoto wa wenzetu na kuwafikisha, bila kupayuka au kujigamba kwa sababu hatutegemei "returns au fadhila" agind kindly Rudi ujitiibu weakness zako..sikiliza utafaulu. Good luck and best happy lifu.
 
kimeo hata wewe unaweza kukutana nacho maana hakiandikwi usoni. muhimu ni karata zako utazicheza vipi.

Mwisho akuendee kwa mganga akuloge ajimilikishe kila kitu!
Mwisho watoto wako wakose kila kitu! Nawewe akuue ay akufanye zezeta vilevile! Chezea!!
Achana nae na simu yake usipokee..mfanye kama humjui hata ukimwona..akizidi vitisho ripoti polisi!
Kuna watu wanauliza eti kama unahitaji mtu! Ha! Why not!!!!! Bibi weee kama hamu ipo ipo tu mamdogo..umri is jus a number.. Tina Turner ameolewa juzi tuu apa..inakh'usuuuu!!
Ila sasa we ndo unaokota vimeo aunt! Mwe!
Mwombe Mungu na ufanyie kazi
 
Huyu hafai kabisa. Kwanza ana mke, na hata hajakuambia umri wake (umri aliokuambia ni uongo) na usikute he is jobless! Una watoto jamani huitaji stress kutoka kwa outsider na hauna hata undugu naye. Jamani kuna hata njia simple za kumchunguza m2. Mi hata hugoogle kwenye FB na Linkedin.

Na witholding the truth is not lying - meaning never tell nobody about your property, money, assets unless its your hubby or lawyer in a will...:tape:
 
Hakatwi mtu hapa...kama huamini muulize Sheriiiiii..
 
Umri huu natambulishwa ili iweje Smile, nimewapa tu muone anavyoweweseka baada ya kumpiga full stop. Kama alikua na nia ya kunitambulisha asingesubiri tufike huko tulikofika. ingekua automatic tu.
Shaka ondoa mdogo wangu, hatambulishwi mtu hapa... watoto wangu wanatambulishwa huko kwa vi bf na vi gf na mie mama yao pia natambulishwa... dah....
nashukuru kwa kujitambua usije kugeuka lakini
 
Eeeeh...huyu 'mbaba" alivoshukiwa umu ndani!
 
Ni kweli kabisa dada Mungu alimuumba adam na eva lakini haujatuambia adam wako wa kwanza ambae ndie baba watoto yupo wapi
mimi49 am not that desperate, ila mimi ni binadamu pia. nahitaji kampani. Ingekua watoto wangu wapo wala nisingehangaika. Ila kua na mwenzio hata ukiumwa yupo ni jambo jema. hata mungu alimuumba Adam akaona asiishi mwenyewe akampa Eve. Sasa kwanini mimi niwe mwenyewe. But am not that desperate, I can manage on my own.
Asante kwa ushauri mzuri, nitaufanyia kazi. Thanks and be blessed...
 
Kwanza nakupa pongezi sana da Asia kwa msimamo wako wa kusomesha watoto wako na hatimaye wako chuoni sasa, hongera sana.
Pili, mwanaume ambaye ana nia ya dhati ya kuoa utamjua tu, na mwanaume ambaye anajifanya kukupenda kwa sababu ya kitu fulani utamjua pia. Huyu, kwa kweli hana nia ya kukuoa ila amevutiwa na maisha ya ulaini ambayo kwake anaona ndiyo life. Huyo kuna mengi anayaficha huyajui, si mkweli, kama ana nia ya dhati ya kukuoa angekuwa huru kama ulivyokuwa wewe, hao watoto anaosema anao ni lazima uwajue kabla hamjafunga ndoa, na nyumbani kwake ni lazima ukujue kabla hamfunga ndoa, ndugu zake ni lazima uwajue kabla hamjafunga ndoa, usiende kichwa kichwa unaweza kuumbuka siku ya arusi mtu akajitokeza kupinga arusi akiwa na chet cha ndoa mkononi, aibu ilioje!

Kwa sasa hivi mkwepe kwanza ili ujiridhishe na mambo hayo, umepitia mengi Da Aisha, vuta subira, uwe makini sana ili usiharibu mwishoni kwa kweli maana umetoka mbali.

Zaid sana muombe Mungu muweza wa yote akusaidie kukuongoza katika hilo maana msaada wake unahitajika kwa hilo pia
 
Back
Top Bottom