Niko njia panda, niende UDSM au DIT?

Habarini wanajamiiforum,

Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha sita mchepuo wa PCM 2016,nimebahatika kuupata div 2 ya point kumi,sasa katika kuchagua vyuo mimi napenda kusoma engineering UDSM ila watu wananishauri kama unataka kuwa engineer mzuri niende DIT.

Sasa wadau nisaidieni kunipanua mawazo malengo yangu ni kuja kujiajiri so nataka chuo ambacho ninaweza kupata ujuzi wa kutosha katika kozi zifuatazo electrical,computer engineering au mechanical engineering.
Nenda Nursing tu kaka
 
Hata Udaktar unaweza ila utaumia acaha nazo izo mambo nenda Chuo cha uongozi wa mahakama IJA au Mzumbe kasome diploma ya Sheria usifate mkumbo kwa kuwa baba/kaka/dada ako kasoma Account
mzumbe kwan kuna diploma?
alafu ningependa unipe details vizur kuhusu icho cha IJA
 
Habarini wanajamiiforum,

Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha sita mchepuo wa PCM 2016,nimebahatika kuupata div 2 ya point kumi,sasa katika kuchagua vyuo mimi napenda kusoma engineering UDSM ila watu wananishauri kama unataka kuwa engineer mzuri niende DIT.

Sasa wadau nisaidieni kunipanua mawazo malengo yangu ni kuja kujiajiri so nataka chuo ambacho ninaweza kupata ujuzi wa kutosha katika kozi zifuatazo electrical,computer engineering au mechanical engineering.
UDSM wana BSc engineering na DIT wana B.Eng!! inategemea unataka nini, ila mwisho wa siku wote ni mainjinia. Kwa ushauri tu anza na UDSM
 
Hata Udaktar unaweza ila utaumia acaha nazo izo mambo nenda Chuo cha uongozi wa mahakama IJA au Mzumbe kasome diploma ya Sheria usifate mkumbo kwa kuwa baba/kaka/dada ako kasoma Account
Sio kila hkl bc aende law
 
Back
Top Bottom