Niko njia panda, niende UDSM au DIT?

UDSM chenga tu... nishawahi fanya Field na wanafunzi wa UD (Civil) kila kitu wao hawajui halafu walikuwa wa 3rd year nikawa najiuliza hawa huko chuoni huwa wanafanya nini.....
 
UDSM chenga tu... nishawahi fanya Field na wanafunzi wa UD (Civil) kila kitu wao hawajui halafu walikuwa wa 3rd year nikawa najiuliza hawa huko chuoni huwa wanafanya nini.....
acha kutuhalilisha kakaaa
 
Kazi mnayo vijana malizeni tu chuo afu muingie mtaani hali halisi ya maisha ya graduate na chuo ulichosoma utachambua mwenyewe.
 
hakuna kama udsm waliopo vyuo vingine walitamani kuja hapaa mkali
wanaotamani wanafuata mkumbo... ukiwauliza kwann wanataka kwenda UDSM am sure wengi wao hawatakuwa na strong reasons.... kwa kifupi mm binafsi sijawahi tamani soma UD hata siku moja na wala sijutii kutosoma UD
 
mimi kusoma udsm ilikua ndoto yangu afu vipi uko mwaka wa ngapi na kozi gani na chuo gani
 
6c1fb5246fe1afee47b52817af3bc472.jpg

hii ni lab?
mbona ndo unazidi kumfukuza zaidi?
 
Kama unahitaji kufaulu nenda DIT kama unataka kusoma na kuelewa nenda Udsm japo jasho litakutoka
 
Tatizo kubwa humu ni kwamba watu wanakushauri bila sababu halafu pia kuna watu hawajui fani ya uhandisi ikoje wao wanabaki kushauri tu halafu kingine wengine hapa wana chuki binafsi na udsm labda huenda walikosaga nafasi za kusoma hapa.
Sasa kijana wangu nakushauri mimi kama mwanafunzi wa CoET udsm Civil Eng. Basically Engineering starts from Theory...yaani ukiwa na Theory nzuri ukazihamisha kwenye kufanya Practical unakuwa vizuri sana....kwa hilo udsm wapo poaa sanaa....Kingine DIT wale tunawaterm kama ma Technicians so kama unataka kuwa Engineer anayetambulika na mwenye soko njoo udsm ila kama unataka kuwa technician nenda huko DIT then mark my words.. Never compare udsm coet with DIt.....udsm coet is the best!
Ebu acha kupotosha watu...technician ni yule mwenye diploma... mwenye bachelor huwez kumuita technician hayo ni matusi mazito... wewe kijana unayejifanya umesoma civil hapo coet na kujifanya unaajuuuuua wakat vijana wenu tunakutana nao kazin had unajiuliza, hiv kijana huyu miaka hyo 4 alikuwa anasoma nin? Had unajiuliza kama hiki na kile hajui... sasa atakuwa anajua nin mbali na jina lake??
 
UDSM chenga tu... nishawahi fanya Field na wanafunzi wa UD (Civil) kila kitu wao hawajui halafu walikuwa wa 3rd year nikawa najiuliza hawa huko chuoni huwa wanafanya nini.....
Mkuu... umeongea ukweli husiopingika... mi mwenyewe nshakutana nao... wanajua majina yao tuu... hamna kingine
 
Back
Top Bottom