Niko njia panda, niende UDSM au DIT?

Niko njia panda, niende UDSM au DIT?

Good question na mi nasubiri jibu hapo ukute kanasoma PSPA ila kanajua engineering😀😀😀😀😀
Hahhahahaahha iyo kawaida tu tunalima kote kote ucshangae mwalimu wa phy akafundisha hist
 
Tatizo kubwa humu ni kwamba watu wanakushauri bila sababu halafu pia kuna watu hawajui fani ya uhandisi ikoje wao wanabaki kushauri tu halafu kingine wengine hapa wana chuki binafsi na udsm labda huenda walikosaga nafasi za kusoma hapa.
Sasa kijana wangu nakushauri mimi kama mwanafunzi wa CoET udsm Civil Eng. Basically Engineering starts from Theory...yaani ukiwa na Theory nzuri ukazihamisha kwenye kufanya Practical unakuwa vizuri sana....kwa hilo udsm wapo poaa sanaa....Kingine DIT wale tunawaterm kama ma Technicians so kama unataka kuwa Engineer anayetambulika na mwenye soko njoo udsm ila kama unataka kuwa technician nenda huko DIT then mark my words.. Never compare udsm coet with DIt.....udsm coet is the best!
 
Nenda UDSM. Siku hizi DIT hakuna practical yoyote zaidi ya "kumeza" na kuingia na "juche" kwenye mtihani.
Hahaa "Juche" umenikumbusha mbali sana mzee wa vijuche!
 
Haaaa mi napga dit civil engineering ndngu kamwe hujajuta njoo tusome dit, unatoka nondo, maisha haya nikua Nondo practical na so theory,
 
Tatizo kubwa humu ni kwamba watu wanakushauri bila sababu halafu pia kuna watu hawajui fani ya uhandisi ikoje wao wanabaki kushauri tu halafu kingine wengine hapa wana chuki binafsi na udsm labda huenda walikosaga nafasi za kusoma hapa.
Sasa kijana wangu nakushauri mimi kama mwanafunzi wa CoET udsm Civil Eng. Basically Engineering starts from Theory...yaani ukiwa na Theory nzuri ukazihamisha kwenye kufanya Practical unakuwa vizuri sana....kwa hilo udsm wapo poaa sanaa....Kingine DIT wale tunawaterm kama ma Technicians so kama unataka kuwa Engineer anayetambulika na mwenye soko njoo udsm ila kama unataka kuwa technician nenda huko DIT then mark my words.. Never compare udsm coet with DIt.....udsm coet is the best!
Haaaaaaa coet hakuna kitu , DIt ndo kiboko
 
Unanikumbusha DIT chuo kilichonitoa kimaisha. ..nenda mkuu kipo makutano ya barabara ya bibi titi na morogoro
 
6c1fb5246fe1afee47b52817af3bc472.jpg
 
Back
Top Bottom