Code Breaker
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 1,019
- 446
Nenda kote kwasababu vipo karibu
Inatokana na ushindani uliopo kwa kila mwaka. Ila kwa uzoefu wangu una asilimia zaidi ya 80 kupata nafasi hapo UDSMMkuu vipiii na mwenye division one ya 9yanii Math..C physic.C na chemistry C..na o lvl alkwa na one ya kumi na NNE anawza chagulwa udsm kusoma electrical
Sawaa mkuuu nashukuru..Inatokana na ushindani uliopo kwa kila mwaka. Ila kwa uzoefu wangu una asilimia zaidi ya 80 kupata nafasi hapo UDSM
Habarini wanajamiiforum,
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha sita mchepuo wa PCM 2016,nimebahatika kuupata div 2 ya point kumi,sasa katika kuchagua vyuo mimi napenda kusoma engineering udsm ila watu wananishauri kama unataka kuwa engineer mzuri niende DIT.
Sasa wadau nisaidieni kunipanua mawazo malengo yangu ni kuja kujiajiri so nataka chuo ambacho ninaweza kupata ujuzi wa kutosha katika kozi zifuatazo electrical,computer engineering au mechanical engineering.
Ushindani wa kukariri?Kwa mtazamo hasi na kma unapoint nzuri chagua udsm mana pale kunaushindani mkubwa hivyo itakujenga kuwa bora. Usidanganywe na dit ukazani kuna elimu kwa vitendo hilo sikuhizi halipo kutokana na kuwa na idadi kubwa ya watu. Hivyo nenda udsm ili utanue wigo wako
Mkuu, umeongea kweli tupu. DIT ni msuli mwanzo mwisho. Lakini inakupika hadi unatoka umeiva. Hongera kwanza kwa mdau kwa matokeo ambayo yanampa wigo wa kwenda COET, DIT, MUST et al!Ukitaka kupata tu sifa ya cheti kuwa na Wewe umesoma UDSM nenda hapo ila ukitaka kupikwa na kupata elimu nzuri na itakayokufanya uwe marketable hasa katika engineering nakushauri nenda DIT na ukimaliza masomo yako hapo utakuja kutushukuru wote humu tuliokuambia uende DIT. Kila la kheri Mwana taaluma mtarajiwa na ukaze msuli kweli Kijana hapo DIT utafika muda hata muda wa kuoga na hata kupiga mswaki tu huna kwa msuli wake wa kutukuka.
Aaah, kumbe ni miaka 4 kwa wahitimu wa kidato cha6 na 3 kwa wale wa Diploma/FTC. kuhusu project kwa kweli ni kichefuchefu. Inabidi ukomae hasa, maana Project pale DIT wanataka kitu real ambacho ni tangible!Kama unataka kwenda DIT, baada ya usajili anza kufikiria project utakayoifanya mwaka wa nne (Endapo utafika). Hili litakusaidia kuepuka gharama na presha za kufanyiwa project.
Naongezea tu na ukitaka uone uzuri wa UDSM nenda kwenye consulting firm.Mkuu nenda UDSM. Naona wengi hawakupi utofauti hasa kati ya degree ya UDSM na DIT. UDSM wanatoa Bachelor of Science (Engineering) na DIT wanatoa Bachelor of Engineering. Tofauti yake ni kuwa UDSM utajifunza kwa undani the science behind Engineering, with practices as well. DIT utajifunza zaidi hands on experience ya Engineering. Wahadhiri wa UDSM wanafanya consultancy zaidi ya wa DIT. Graduate wa UDSM si wazuri sana kwa hands on, but ni train-able.
Electrical na Mechanical kwa udsm hunaweza ukakosa nafasi. kwa alama zako labda mineral engineering. Pia nenda unapopapenda usisikilize watu. japo hata mimi nilienda udsm kwa ushauri wa watu pia nilipapendaHabarini wanajamiiforum,
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha sita mchepuo wa PCM 2016,nimebahatika kuupata div 2 ya point kumi,sasa katika kuchagua vyuo mimi napenda kusoma engineering UDSM ila watu wananishauri kama unataka kuwa engineer mzuri niende DIT.
Sasa wadau nisaidieni kunipanua mawazo malengo yangu ni kuja kujiajiri so nataka chuo ambacho ninaweza kupata ujuzi wa kutosha katika kozi zifuatazo electrical,computer engineering au mechanical engineering.
twende na uhalisia acha ushabikiNenda chuo kikuu (UDSM). Achana na hao wa kuungaunga.
Ukisoma UDSM utakuwa na uwezo mkubwa kichwani na kuweza kushika vitu vingi vinavyohusiana na fani utakayosoma. Teknolojia inabadilika kila uchwao.
Nenda chuo kikuu (UDSM).