Habarini wanajamiiforums,Mimi ni kijana ninayesoma kozi ya bachelor ya engineering in telecommunications engineering katika chuo cha DIT
Nilimaliza kidato cha sita 2015, nikapata nafasi ya kusoma telecommunications engineering japo Mimi kozi ambayo nilikuwa naipenda na ambayo ninaona ina future nzuri ni Electrical engineering.
Sasa naombeni ushauri je inawezekana kubadili kozi nikaingia electrical hata kama nikirudia mwaka mmoja nyuma?na je nikirudi mwaka mmoja nyuma athari ni ipi hasa katika mkopo, NAOMBENI MAWAZO YENU TAFADHALI